Gigy Money aharibu tena Nairobi kwenye show ya Wife Material

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,379
Huyu Gigy Sijui alirogwa au kajiroga mwenyewe kila anapogusa ni nuksi tu, show ya watu huko imehairishwa tena chanzo kikiwa ni yeye mwenyewe, Sijui linajikutaga nani, Yan linaudhi, kila sehemu likiwepo lazima lisababishe mkosi, na linavyoongeaga kama litahira kujifanya linajua kila kitu wakati kichwan zero.

IMG_2557.jpg




================


In an explanation, Omondi noted that the continuation of Wife Material Season 2 had been annulled “We say farewell to Season two”.

The surprise cancellation of the show left a section of his fans in lamentation with many advising that they could have just dropped the “Rogue” contestant and allowed the show to go on.

“Sadly, It seems #WifeMaterial2 was never meant to happen, but we can still say it happened in away, actually twice. The show was to begin tomorrow as has been heavily advertised but unfortunately that won't be so.

The idea behind #WifeMaterial is to Entertain but most importantly to ensure that the Contestants are Comfortable, Safe and having the time of their lives while Contesting, Unfortunately one of the Contestants went Completely and utterly "Rogue" and despite numerous attempts to Control the situation the atmosphere in the house has not been conducive for the show to continue. We say farewell to Season two. Season 3 will Start almost immediately.🙏🙏🙏” announced Ericx Omondi.

On March 10th, Season 2 contestants were involved in a physical fight at a city club during his Birthday party.

A video shared by Omondi via his Instagram captured the contestants exchanging blows to an extent of forcing stewards who were providing security at the club to intervene.

On March 11th, Eric gets arrested.

In a statement, Kenya Film and Classification Board said that the comedian was arrested for contravening the Films and Stage Plays Act Cap 222, which prohibits production and distribution of unauthorized films, and in this case his Wife Material series.

On March 19th, Wife Material Season 2 gets postponed.

Omondi said the decision owed to the fact that production “will take time to celebrate and mourn” the late President Magufuli. He further added that this decision was made “out of honor and respect for our brothers and sisters from Tanzania.”

On March 24th, the comedian announced that the show will be PG Rated, and therefore not suitable for children.
 
Huyu Gigy Sijui alirogwa au kajiroga mwenyewe kila anapogusa ni nuksi tu , show ya watu huko imehairishwa tena chanzo kikiwa ni yeye mwenyewe, Sijui linajikutaga nani , Yan linaudhi, kila sehemu likiwepo lazima lisababishe mkosi mxieew, na linavyoongeaga kama litahira kujifanya linajua kila kitu wakat kichwan zero View attachment 1796069
Ana gundu la kinyesi

Nje ya mada! Eric anadhalilisha utu mwanamke lakini
 
Huyu Gigy Sijui alirogwa au kajiroga mwenyewe kila anapogusa ni nuksi tu , show ya watu huko imehairishwa tena chanzo kikiwa ni yeye mwenyewe, Sijui linajikutaga nani , Yan linaudhi, kila sehemu likiwepo lazima lisababishe mkosi mxieew, na linavyoongeaga kama litahira kujifanya linajua kila kitu wakat kichwan zero View attachment 1796069
Hilo pozi utafikiri wanasubiria kupiga group s

Ova
 
Ila gigy bana Kuna muda anaboa sana, me ananikoshaga tu kiingereza chake na kujiamini haangalii kama ana haribu au haaribu mtajaza wenyewe
 
Gigy hana staha anaropoka mno.
Kama anataka watu famous mbona bomgo wamejaa sana heri amchukue hata agray akacheze kibao kata kuliko huyo demu mswahili sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom