Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,058
Ni mtangazaji wa choice Fm anaitwa Mo J ana miaka 23
Jamaa anatafuta kick, wala si mapenziJapo sja angalia hiyo video.
Hivi mtu unapoamua kuwa mpenzi wa Giggie
Unakuwa una tegemea nn!!?
Jamaa ana roho ngumu na atakuwa kajiandaa kisaikolojia.