Gigi Money aelezea makuzi aliyopitia hadi kuharibikiwa

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Video Vixen anayeitwa Zawadi Stanford Bupe, aka Gigi Money ameelezea maisha yake aliyopitia akiwa mdogo hadi alipo, anadai hakuna mtu aliyemtegemea anazaliwa na baba yake alimtekeleza akiwa tumboni kwa mama yake, na alilelewa na mama yake na dada yake na ametokea familia masikini na sasa anaishi peke yake kwenye nyumba ya kupanga



Na mama yake naye alikuwa anamuona mzigo, anadi alianza kucheza kamari na alikuwa anapata fedha nyingi sana na kumpa mama yake
 
Kuzishughulisha sehemu zake za siri anatoa lawama kwnye malezi, hajitambui huyu...

Kibaya zaidi hawahawa ndio wanatumika kwenye kampeni 2020..
Hizi ni tabia binafsi kuna wengi tu mbona wamepitia maisha magumu na mabaya zaidi kuliko yeye na Leo ni watu wa kuheshimika mno katika jamiii
Tabia ya kihuni tu . ..Mwenye Enzi Mungu amsaidie abadilike . ..that's all . .
 
AKili zake ameziweka Tumboni na Kwenye Makalio,Watanzania wengi wamepitia maisha magumu lakini wana displini.
 
Back
Top Bottom