Giggy Money Kawaumbua Mastaa uchwara, sikutegemea kama anakaa Uswahilini

ARCHBISHOP

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
271
484
Ndugu zangu leo katika pita pita zangu nikakutana na video ya mwana dada maarufu hapa mjini Giggy Money akigombana na mjumbe nyumbani kwake. Kilichonistua ni mwonekano wa hajabu, yaani mbaya kuliko hata house girl wangu.(Hapa nika salute meke up)

Pili nikashangaa kuona nyumba na mazingira anayokaa haviendani na mambo anayoyasemaga katika videos tofauti, eti wigi langu Mil.6 sijui nakaa nyumba ya Mil.8 kwa mwaka. Aisee hawa wasanii wanaigiza mpaka maisha yao? Acha nilale kumbe niko vizuri mara mia kuliko hawa watu wa mapicha picha

 
Maisha ya wasanii wengi ni sanaa tupu hususani wasanii wa kike.

Kama huyo sijui Giggy money ni choka mbaya, ni malaya mbwa wa kuuza mzigo kuanzia buku tano mtaani kwake, hachagui wala habagui, muda wowote vijana wa mtaani wanatinga gheto kwake kutafuna mzigo. Huko mitandaoni ndio anawapataga washamba wakidhani yeye ni classic kumbe ni mbwa jike.

Majirani zake kote alipokuwa akiishi wamemchoka kwa makelele yake akishalewa pombe na kuhehuka kwa madawa ya kulevya.
Wengi wanaomfahamu wanasema huenda tayari ana 'moto', na hataki kutumia dawa...
 
Uyo Mama kwa sura anafanana na Giggy Money nilijua ni Mamake
Anyways all in all uyo binti kakosea sana nadhani upeo wake ni mdogo then malezi nayo yanachangia;anaongea as if uyo anaeongea nae wanalingana;mbaya zaidi Mama ni mjumbe ie kiongozi wake wa mtaa anaoishi daah hawa wasanii wetu bhana sometimes miyeyusho sana!
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom