Ghost Rider Umejificha wapi, Mijadala ya Bunge tunaikosa sie tulio mbali na tv | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ghost Rider Umejificha wapi, Mijadala ya Bunge tunaikosa sie tulio mbali na tv

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzalendo80, Jun 23, 2011.

 1. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Ghost Rider ulikuwa unafanya kitu ambacho hakijawahi kufanywa na member yoyote humu JF, kwa kutuletea habari za bunge kwa ufasaha na bila ya kumung'unya maneno mpak wengine tukawa tunajisikia kama tupo kwenye Radio ya JF kumbe ni tupo kwenye mtandao. Popote ulipo Ghost Rider tunaikosa mijadala ya Bunge na tunakumis. JF inahijitakuwa na Members kama Ghost Rider

  GR umejificha wapi?
   
Loading...