Ghorofa linateketea kwa moto upanga,zimamoto wanaliacha lijizime!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ghorofa linateketea kwa moto upanga,zimamoto wanaliacha lijizime!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mchajikobe, Feb 23, 2011.

 1. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,270
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280
  Kuna ghorofa linateketea kwa moto,maeneo ya upanga kwa takriban masaa nane sasa,lakini zimamoto wamekuja kulishangaa na kuacha likiendelea kuteketea huku wakitegemea litajizima lenyewe!!Kwa mtindo huu,ninaimani wamekosea sana kuupa huu mji hadhi ya jiji,wakati staili za maisha ni za kijijini!!
   
 2. Mtumiabusara

  Mtumiabusara JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 473
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Zimamoto labda wanataka kulipwa kwanza
   
 3. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,637
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kweli kabisa hao zimamoto watakuwa wale wa Knight Support au wa Ultimate Security...
   
 4. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,838
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tanzania tambarare!
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,489
  Likes Received: 837
  Trophy Points: 280
  Ndo bongo yetu hiyo. Inawezakana wamepewa amri wasilizime!
   
 6. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,523
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hapo hawafanyi kazi mpaka milioni tano,zimamoto zetu ndio zipo taabani wanaweza kuja bila maji na kubaki kushangaa
   
 7. b

  bwanamatata Member

  #7
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nafikili Zimamoto hawajajaza maji tangu walivyotoka kwenye mabom Gongolamboto!
  Mhusika awajibishwe.
   
Loading...