Gharma hiii ni kweli au tumeliwa

Comments zote hakuna hata mjinga mmoja aliyeweza kuweka gharama na bei za hayo magari, mtu amekalia kusema tu sio bei yake tumepigwa
Tajeni sasa bei halisi.
Mjinga mmoja kaweka bei
IMG_20190824_064350.jpeg
 
Nina rafiki yangu Tanga anazo Tata 14,na zote amenunua mpya,tena kwa taslimu (si mkopo),na ni ndani ya miaka mitatu,ila hajawahi kumiliki 500 milioni kwa wakati mmoja kwenye account zake zote.
Na wewe unazo ngapi?
 
Ukikubali Kulaliwa Mwisho Utapasuka Utakuwa Kama Pono
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Hilo Tata la millioni 200 liko wapi???!!!!!, watz ifike mahali tuwa serious, hilo basi la milioni 40 ndio limekuwa gharama mara 5????!
Acha kuropoka wafikiri gharama ya gari jipya tena basi yaweza kuwa milioni 40?? Uliza ufahamu hata Coaster used ukiileta bongo si chini ya milioni 45!! Watz tuwe tunajipa uelewa wa mambo badala ya kuropokaropoka. Tuwe tunajaribu kutembelea Nyerere road kufanya window shopping kuliko kupiga domo pasipo kujua uhalisia wa mambo.
 
Hahahah izo gar mbayaaaaaa ivi ata haya mabas ya mikoani nayo huwaga bei ndefu ivo.
 
Yes hawanunui used sababu ya ku calculate depreciation....Ila Japan wameanza lini kutengeneza TATA? Na TATA za kanjibahi tokea lini ikafika 200mil??
ata supplier wake mkuu Africaries hajawah kuziuzaaa mil 150 pamoja na usjali wake
 
Back
Top Bottom