Gharib Bilal ateuliwa mgombea mwenza wa Kikwete 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gharib Bilal ateuliwa mgombea mwenza wa Kikwete 2010

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Luteni, Jul 11, 2010.

 1. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  A: Muhammed Seif Khatib
  B: Shamsi Vuai Nahodha
  C: Zakia Meghji
  D: None of the above

  And the answer is [ D ] substantiate your answer.

  CONFIRMED:

  Gharibu Bilal ameteuliwa rasmi kuwa mgombea mwenza wa Kikwete
   
 2. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  I don't think it can be Shamsi Vuai Nahodha. If he was being prepared to be VP he would have known it by now and not bothered to run in Zanzibar. I don't think he is that important to the CCM establishment or Kikwete's goals to be given the consolation prize of VP.

  *From what I know Kikwete had a running mate prepared for 2005 but was forced to keep Shain in his ticket. I don;t know who his choice was but common sense tells me that he is probably going with that person this time around.
   
 3. tikotiko

  tikotiko Member

  #3
  Jul 11, 2010
  Joined: Jul 9, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtashangaa kama Karum eatakuja kuwa running mate wa JK?
   
 4. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2010
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,003
  Trophy Points: 280
  Majina yanayotawala hapa ni ya Wazanzabar, Labda kuna kitu ambacho sielewi lazima VP atoke upande huo uchaguzi huu?
   
 5. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2010
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Ni dr salim ahmed salim- kuleta maridhiano ya kile kilichotokea 2005,
   
 6. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,576
  Likes Received: 18,548
  Trophy Points: 280
  Dr. Salim is the best choice, kwa sababu whoever is the VC, then he can be the last URT President from Zanzibar, other wise hakuna tena Wanzanzibar wa kuuchukua urais wa Muungano, wao mwisho wao huku ni u VC na kumalizia na urais wa ZnZ.
   
 7. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #7
  Jul 11, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Huyu dogo si apumzike tu jamani? Mbona kule Zenj alidai hataki kuongezewa hata siku moja Ikulu?
   
 8. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #8
  Jul 11, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ulishasema kule Zanzibar... labda ni ile ikulu ya Zanzibar... huenda na Muungano bado anaipenda.
   
 9. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hivi Amina Salum Ali yuko wapi? I wished this women to be the Vice Present....
   
 10. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Niliwahi kusikia eti ni Shamhuna, sijui kama rumors hizi zilikuwa kweli au la.

  Lakini akimchagua huyo ujue atafanya decisions hata katika maeneo ambayo siyo mandate yake.:lying:
   
 11. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #11
  Jul 11, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ni meghji
   
 12. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kaka ndio utaratibu huo lazima atoke zanzibar, endapo rais atatoka bara
   
 13. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #13
  Jul 11, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  kati ya hao wote hakuna mwenye personality ya kuwa VP. So the answer is D, lakini kwa kuwa ni lazima tuwe na VP ni lazima tuwe na selection kubwa na ya maana ili tuweze kuchagua,Zanzibar kuna watu wengi tu Zanzibar wenyewe personality na ability ya kuwa VP. We can not choose from those few, selection needs to be wider
   
 14. E

  EL+RA=UFISADI Member

  #14
  Jul 11, 2010
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tetesi kutoka huku ndani kwenye mkutano mkuu wa CCM Dodoma ni kuwa wazee wa chama wamemshauri Kikwete amteuwe Dr Gharib Billal kuwa mgombea mwenza wake. Lengo ni kumpooza baada ya kutoswa kwenye Urais wa Zanzibar. Dr Shein is a weak candidate na bila support ya kundi la Billal hawezi kumshinda Seif Shariff Hamad wa CUF kwenye uchaguzi. Kuna hofu kuwa Billal, ambaye alikuwa anaungwa mkono na mafisadi Edward Lowassa na Rostam Aziz anaweza kuhamia chama cha Jahazi kugombea Urais Zanzibar na hivyo kuwa ni kiama kwa CCM. Kikwete anasemekana kupendelea kumteuwa mkwe wake Zakia Meghji awe VP ili aache legacy ya kuteuwa makamu wa rais wa kwanza mwanamke.
  Nitawapa taarifa zaidi ili kujua ni nini kinaendelea punde habari zitakavyo vuja kwenye hiki kikaao.
  Chaguo la kikwete la running mate mwaka 2005 alikuwa ni Mohamed Seif Khatib, naye anatajwa pamoja na Rais Karume.
  Tatizo ni kuwa Karume anaonekana kuwa ni jeuri na hakumhusisha JK kwenye makubaliano yake ya siri na CUF.
   
 15. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #15
  Jul 11, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  DR. Billa mbona anaonekana kachoka ile mbaya?
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Jul 11, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  jamani zakhia ni mke wake tena??????
  si mwanzo mlisema ni mama mkwe wake..??????????
   
 17. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #17
  Jul 11, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  zakia meghji ni mkwe mwenziwe ...............lol


  kikwete kumpa Bilal ngumu kidogo since Bilal ni mkorofi, na uongozi wa rais na makamo wake utakuwa mashakani.

  Hata Bilali asipokwenda huko Jahazi, ccm itashinda tu na CUF.

  CCM ni bara tu alikozaliwa baba wa taifa ................zanzibar wamezowea upinzani. Hata nyerere aliwataja.
   
 18. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #18
  Jul 11, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Akipata huyo Dr Bilal itakuwa ushindi mkubwa kwa RA, kwani katika awamu hii atakuwa na both Presida na Vice Presida mfukoni mwake. That's how money speaks!
   
 19. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Soma vizuri ni MKWE WAKE. Anyway hakuna cha maana kwani tumeishafikia sehemu ya kugawiana madaraka kwa sababu fulani!!! na si uwezo wa mtu
   
 20. p

  p53 JF-Expert Member

  #20
  Jul 11, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 613
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Billal siye mkorofi,isipokuwa siye mtu wa kushikwa masikio na kuburuzwa.Hawezi kamwe kupewa umakamo kwa hofu ya kumfunika mkulu na pia hofu ya kuwa tishio urais wa 2015.Labda atatafutiwa nafasi nyingine ya kumpozea lakini si umakamo.
   
Loading...