Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,125
- 8,644
Hamjambo ndugu. Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu nimevutiwa na aina ya gari kampuni ya Ford ambapo huku ina uzwa doller $10,000 sawa na R150,000.
Nia yangu ni kufahamu gharama (ushuru) nitakaotakiwa kulipa. Naamini jamii forum ina watu wenye uelewa na uzoefu wa mambo mbalimbali.
Natanguliza shukrani
Nia yangu ni kufahamu gharama (ushuru) nitakaotakiwa kulipa. Naamini jamii forum ina watu wenye uelewa na uzoefu wa mambo mbalimbali.
Natanguliza shukrani