Gharama zimepanda kwa muda mfupi tatizo nini?

.
Screenshot_20220105-232342.jpg
 
Yaani mpaka soda jamanii,jua linavyochoma mpaka kwenye figo unaenda kwa mangi kununua pepsi uyapoze maini,bandama na koromeo unaambiwa 600 daah,hapo una jero lako la ngama hilo hilo,
Nchi ipo mikononi mwa Wafanyabiashara na mapandikizi
 
Back
Top Bottom