Gharama zikoje kama nikiagiza mzigo kutoka ebay kupitia agent wa usafirishaji

ThisisDenis

Senior Member
Apr 14, 2013
149
129
Napata shida kujua ni gharama kiasi gani nitatozwa, kwa kila ninae muuliza ananipa majibu ya kunivunja moyo.

Wengi wao wanadai nikiagiza kutoka nje yaani amazon au ebay gharama za tozo nchini Tanzaniani kubwa kuliko gharama nilizo nunulia.

Naomba msaada kwa hili tafadhali?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom