Mbona TCRA wanasema wamerudishaVifurushi vina faida nyingi kwa kwetu Wana nchi wa chini .
Kwanza ndipo chanzo Cha mapato, kwani Kuna wajasiliamali wanaotegemea vifurushi vya internet kufanya biashara zao.
Pili wanafunzi wanaotegemea vifurushi vya internet kujisomea