Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 353
Hii nimeona niilete hapa jamvini tuijadili manake nimegundua kuwa kama una kidate na dame decent, mkikaa sehemu- mkala na kunywa then mkaingia chimbo kumalizia na mchezo, gharama yake ni at least laki moja! Meaning kama unaendekeza huu mchezo, ukipiga mara 10 tu milioni imekatika! Chimbo nililochukua mimi lilikua elfu 60, kula na kunywa 40 ikakatika. Tutajenga kweli? Kuna watu wanapiga hii michezo almost daily, how do they afford? Ni machimbo gani yako decent ( kwangu AC ni lazima!) hapo dar na yanapatikana kwa bei poa?
Nikawa namuelezezea mhadhiri mmoja wa kule chuo kikuu hii issue, akacheka sana akasema ni kawaida sana, kuna group la wakware fulani hapo mjini alisema anawafahamu, ni watu wenye familia zao lakini wamekuja na strategy ya kupunguza gharama kwa kupanga flat ambayo ni full furnished na wanalipa laki 2 kwa mwezi kwa ajili tu ya kuchinjia tu na hiyo rent wanachanga. Is this the way forward?
KKN