Gharama za vidate..

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,257
353
Hii nimeona niilete hapa jamvini tuijadili manake nimegundua kuwa kama una kidate na dame decent, mkikaa sehemu- mkala na kunywa then mkaingia chimbo kumalizia na mchezo, gharama yake ni at least laki moja! Meaning kama unaendekeza huu mchezo, ukipiga mara 10 tu milioni imekatika! Chimbo nililochukua mimi lilikua elfu 60, kula na kunywa 40 ikakatika. Tutajenga kweli? Kuna watu wanapiga hii michezo almost daily, how do they afford? Ni machimbo gani yako decent ( kwangu AC ni lazima!) hapo dar na yanapatikana kwa bei poa?

Nikawa namuelezezea mhadhiri mmoja wa kule chuo kikuu hii issue, akacheka sana akasema ni kawaida sana, kuna group la wakware fulani hapo mjini alisema anawafahamu, ni watu wenye familia zao lakini wamekuja na strategy ya kupunguza gharama kwa kupanga flat ambayo ni full furnished na wanalipa laki 2 kwa mwezi kwa ajili tu ya kuchinjia tu na hiyo rent wanachanga. Is this the way forward?

KKN​
 
Mazee safari ijayo zama La Paloma guest house pande za Sinza.

Kiyoyozi kipo? manake nimezoea kupiga game zangu kwenye freezing temperature! Wanaanzia bei gani mkubwa? Location ya kiwanja iko poa, manake za barabarani nazo soo
 
Hii nilishaipata. Kuna jamaa yuko Nssf makao makuu huko Dar, ni family-man anaeishi Mbezi, lakn amechukua chumba maeneo ya sinza kwaajili mambo hayo.

Sisi wa kuja tukienda Dar tunapewa funguo tukalale kwenye nyumba hiyo!

Hii inaonyesha jinsi ambavyo ukware una nafasi kubwa bongo. Wakati mtu mwingine anawaza kulipia buku 10 mwisho wa mwezi, mwingine anakuwa na chumba cha kufanyia KILIMO KWANZA tu!
 
kidate lazima? Kama una wako permanent gharama si zinapungua?

Mkulu BT, hivi unajua usipofanya haya mambo umri fulani lazima utakuja kuyafanya tu at some point kwenye maisha yako? Yani hata uwe umeoa na watoto na wajukuu, stage za maisha hazirukagwi!
 
ukitaka uzuri lazima udhurike....me naona ni vema kwenda hotelini kabisa, kwani quest ni low quality
 
Gharama ndo issue hapa, tena kama huna wa kudumu na unaokota okota ndo utajikuta mshahara wote unaishia huko. Mkuu unatumia chimbo gani?
 
Hii nimeona niilete hapa jamvini tuijadili manake nimegundua kuwa kama una kidate na dame decent, mkikaa sehemu- mkala na kunywa then mkaingia chimbo kumalizia na mchezo, gharama yake ni at least laki moja! Meaning kama unaendekeza huu mchezo, ukipiga mara 10 tu milioni imekatika! Chimbo nililochukua mimi lilikua elfu 60, kula na kunywa 40 ikakatika. Tutajenga kweli? Kuna watu wanapiga hii michezo almost daily, how do they afford? Ni machimbo gani yako decent ( kwangu AC ni lazima!) hapo dar na yanapatikana kwa bei poa?

Nikawa namuelezezea mhadhiri mmoja wa kule chuo kikuu hii issue, akacheka sana akasema ni kawaida sana, kuna group la wakware fulani hapo mjini alisema anawafahamu, ni watu wenye familia zao lakini wamekuja na strategy ya kupunguza gharama kwa kupanga flat ambayo ni full furnished na wanalipa laki 2 kwa mwezi kwa ajili tu ya kuchinjia tu na hiyo rent wanachanga. Is this the way forward?

KKN​

KKN, karibu tena mtandaoni, baada ya miaka mingi.
Dar is more than what you can imagine. Kipato halali pekee hakitoshi kukuwezesha kufanya KILIMO KWANZA kila siku, lazima uwe na mambo mengine pembeni. Ni kweli kwamba Dar kuna watu wenye familia zao ambao wamepanga nyumba maeneo mengine (hasa SInza na Kijitonyama)kwa ajili ya mambo hayo. Na hii huifanya mchana wa jua kali, na jioni ya saa 12 wako kwa wake na waume zao kama kawaida, as if nothing has happened in the afternoon!
 
Laki tu!!!!!!!!!!!!! Thats so Affordable!!!!!!!!! Sehemu ya 60!? It gives me goosebumps!!! 40 for drinking thats so affordable also! What was she drinking?

Kuhusu kuchukua ghetto la haya mambo usijaribu, Mwanamke akiona hilo getto kama hatoamia kinguvu basi lazima abebe Mimba ya kujinasisha. Dawa hiyohiyo hakuna makazi ya kudumu!!!!!!!!!!

Machimbo cheap yapo ila yanataka moyo coz kuna watu wazima sanaa hususani wafanyabiashara na wasafiri au wauzuriaji harusi. So huishi kupishana na wamaza na midingi koridoni.
 
Hivi sasa mnavyojadiliana kuhusu ufuska wenu natumai kuna mtu ana seek ushauri kwa ajili ya kumtafuna mke wa mmoja wenu nyie wenyewe,just imagine unarecomend sehemu nzuri yenye kiyoyozi kwa ajili ya...........................!!!!!!!!!!!!.,na jamaa anakuuliza swali kumbe anaku enjoy mtu unatiririka tuu.
 
Laki tu!!!!!!!!!!!!! Thats so Affordable!!!!!!!!! Sehemu ya 60!? It gives me goosebumps!!! 40 for drinking thats so affordable also! What was she drinking?

Kuhusu kuchukua ghetto la haya mambo usijaribu, Mwanamke akiona hilo getto kama hatoamia kinguvu basi lazima abebe Mimba ya kujinasisha. Dawa hiyohiyo hakuna makazi ya kudumu!!!!!!!!!!

Machimbo cheap yapo ila yanataka moyo coz kuna watu wazima sanaa hususani wafanyabiashara na wasafiri au wauzuriaji harusi. So huishi kupishana na wamaza na midingi koridoni.

Lara nimekukubali kubwa la maadui! Unajua hiyo laki nisingeimind sana kama ningekua napiga mzigo usiku mzima, ngoma yenyewe baada ya goli moja tu ilikua inabidi iondoke na kama unavojua viwanja vya wakubwa hakuna kiingilio cha short time!! Na mpango wa kupanga, si namuambia demu tu kua ni gheto la mshkaji na sio langu? Mageto cheap hayana viyoyozi bana, mi siendagi huko, lazima mazingira yawe ya freezing temperature kwangu!
 
Hahahaaaaaaaa! Kipendacho roho hula nyama mbichi!!! LOL! Im curious! Why do you need FREEZING TEMP!!!!? Iguess THINGS GET SO HOT IN THERE!!!!!!!!!! LOL!
 
Laki tu!!!!!!!!!!!!! Thats so Affordable!!!!!!!!! Sehemu ya 60!? It gives me goosebumps!!! 40 for drinking thats so affordable also! What was she drinking?

.

mi mwenyewe nimeshangaa.....atakuwa alikuwa anakunywa alvaro.....?
 
my take.......tafuta kwako,upatengeneze vizuri,upafanye better than hizo hotels na guest house,utaokoa gharama sana,na utabaki na vitu vyako kama kawaida.na kama umebahatisha "golddigger",wale wanaoagizaga vinywaji vya kukomoa,utawaweza,maana utaweka range ya vinywaji utakavyopenda anywe....dates are very important in any relationship,ila sio lazima muishie kudinyana....na dates seem to be romantic kama mtaenda kuzunguka mahali for a while(tuseme 2-3) hours na mpate muda wa kukaa pamoja out of people's eyes.....kama nilivyosema hapo mwanzo,haya ni maoni yangu tu.
 
Hahahaaaaaaaa! Kipendacho roho hula nyama mbichi!!! LOL! Im curious! Why do you need FREEZING TEMP!!!!? Iguess THINGS GET SO HOT IN THERE!!!!!!!!!! LOL!

You can probably get away with it kama hujitumi sana, feni tu inaweza ikatosha. The problem is mimi nahaha uwanja mzima kama fabregas, napiga miguu yoteyote kama Ronaldo, bila kiyoyozi mtu unaweza kudhani shuka zimemwagiwa maji!!
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom