Gharama za uzazi (maternity-delivery) hospitali za Tanzania

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
Watanzania naomba kujua gharama za kujifungua hospitali ni ngapi? Kuna rafiki yangu mke wake kajifungua nchini marekani na kaletewa billya $27,000.

Gharama hizo kwa Tanzania mtu unafungua hospitali.

Nijulisheni jamani
 
Serikalini hakunagharama yoyote sina uhakika na private but haiwezi kuwa kubwa kama hiyo.
 
Private hospitals ni kuanzia laki 3 kwenda juu inategemea na hosp yenyewe na kama una health insurance ni gharama zinashuka
 
Aga Khan hospital ni kama $1,500/=; na Trauma Centre naambiwa ni kama $4,000 pengine zaidi...sina uhakika sana!!

Watanzania naomba kujua gharama za kujifungua hospitali ni ngapi? Kuna rafiki yangu mke wake kajifungua nchini marekani na kaletewa billya $27,000. Gharama hizo kwa Tanzania mtu unafungua hospitali.
Nijulisheni jamani
 
Back
Top Bottom