Hata za matumizi ya nyumbani zinatofautiana size na bei.Habarini wandugu, poleni kwa mizunguko ya kutwa nzima.
Napenda kujua gharama za ujenzi wa swimming pool ndogo tu ya matumizi ya nyumbani. Natanguliza shukrani za awali.
Over!
kwa saizi ya kawaida inaanzia 7m mpk 35m
una kampuni?kwa saizi ya kawaida inaanzia 7m mpk 35m
Aisee nitakutafuta mkuugharama ya Ujenzi hiyo pool ni kubwa mkuu bajeti ndogo kabisa andaa kama mil 17 mpaka ishirini . tena kama unataka vifaa harisi vya hiyo swimming ni hatari sana. mfano tailizi moja ile frofesheno ya sm 30kwa20 bei yake aipungui 29000 kwa moja sio box. kuna moja ndo naimalizia Ujenzi bado kumbukumbu ninazo
Jf ndio nachopenda kuna vichwa vinajua mambo, shukrani mkuuNunua kontela la kusafirishia mizigo lile dogo la inchi 20 ambalo gharama yake kwa sasa haizidi milioni moja.
Tafuta turubai zito alafu ulizingishie kwenye kontena zima,sehemu ambazo zipo wazi.
Chimba shimo sawa na vipimo vya kontena alafu tafuta fundi ai mtaalamu wa mifumo ya maji ili akuunganishie na kontena.baada ya hapo utapata swimming pool ya bei rahisi ambayo haizidi milioni 2.
Kama hujaelewa ni pm au nitafute kwa namba hii
0625582109