Gharama za Ujenzi wa nyumba ya ghorofa mbili

Sio utoto tu, ni la kipumbavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha ujinga, unafahamu BOQ ya nyumba inafanyikaje? Kwa taarifa tu mtu ambaye yupo kwenye hiyo field ukimwambia nyumba ya kawaida ya kuishi vyumba 3/4 self contained na paa la vigae atakupa bei ya kujenga iwe Dodoma, Dar au Arusha subject to unavyotaka wewe aina ya vigae, vyoo milango madirisha nk. Wacha kamba. Aliyeuliza ana mpunga wake anataka mwongozo wewe unasemaje? Yeye anataka ghorofa uliza anahitaji vyumba vingapi au ukubwa upi nk.
 
Umeweza kupata hela zote hizo na hujui kuuliza swali la unachokitaka?
Unakuwa mzembe wa kuweka maelezo kisha unatarajia jibu la msaada.
 
Mkuu Sky Eclat na Mikopo Chefuchefu
Mnasemaje kuhusu hii technologia ya wachina "Pre-Cast" Slabs? Je kuna ukweli kwamba kwa kutumia hii Technologia unapunguza gharama ya kujenga Slab? (mfano Slab ya 8m kwa 9m).

Ahsante
Yep.. Gharama inapungua sana kwa kuwa ile form work ya mirunda, mbao na marine board pamoja na ufundi inaweza kula milioni nane kwenye kuweka slab! So ukipunguza gharama kwa milioni nane, unakuwa umeokoa pesa nyingi.
 
Wacha ujinga, unafahamu BOQ ya nyumba inafanyikaje? Kwa taarifa tu mtu ambaye yupo kwenye hiyo field ukimwambia nyumba ya kawaida ya kuishi vyumba 3/4 self contained na paa la vigae atakupa bei ya kujenga iwe Dodoma, Dar au Arusha subject to unavyotaka wewe aina ya vigae, vyoo milango madirisha nk. Wacha kamba. Aliyeuliza ana mpunga wake anataka mwongozo wewe unasemaje? Yeye anataka ghorofa uliza anahitaji vyumba vingapi au ukubwa upi nk.
Sasa wewe mtaalamy wa BOQ mbona hujatoa basi hayo makadirio?! Mleta mada anataka kufahamu makadirio ya gharama kwa nyumba ya ghorofa mbili ya kuishi!!!

Twende kazi...
 
Back
Top Bottom