CHUMBA CHA KUFUGIA KUKU AU?
Choo cha 0.5m unaingiaje kamanda? Hata ukisema uingie kiubavu ubavu hupitiWakuu naomba mchanganuo was gharama ya chuma kimoja na choo cha ndani. Ukubwa wa chumba mita 3 kwa 3.
Ukubwa wa choo mita 1 kwa 0.5. Milango miwili was kuingia chumbani na was kuingia toilet.
Madirisha mawili moja kubwa LA chumbani na moja dogo la chooni.
Finishing ni simple tiles.
Okay mkuu tuachane na vipimo vya choo, naomba unipatie makadirio ya ujenzi.Choo cha 0.5m unaingiaje kamanda? Hata ukisema uingie kiubavu ubavu hupiti
Sent using Jamii Forums mobile app
Aina gani ya tofali unatumia?Wakuu naomba mchanganuo was gharama ya chuma kimoja na choo cha ndani. Ukubwa wa chumba mita 3 kwa 3.
Ukubwa wa choo mita 1 kwa 0.5. Milango miwili was kuingia chumbani na was kuingia toilet.
Madirisha mawili moja kubwa LA chumbani na moja dogo la chooni.
Finishing ni simple tiles.
Tofali za cement mkuu
True, nimepata hela na kiwanja cha bure nimeishia kufyatua tofali tuMkuu,..kujenga sio kipato,kujenga ni hobby
Mbona hujanijibu hadi leo?
Nipatie makadirio ya wastani kama finishing ni tiles za kawaida na ceiling ya kawaida.Swali lako ngumu coz gharama za ujenzi utegemea finishing
Sihitaji kuwa feki. Niliona nifufue huu uzi, labda mtoa mada atapata chochote kwa faida ya wengi.Hahaha Huu Uzi umenichekesha kinoma Aisee hivi kwann umeamua kutumia Verified account Kijana wa Geor Dev
Sihitaji kuwa feki. Niliona nifufue huu uzi, labda mtoa mada atapata chochote kwa faida ya wengi.
Mpaka sasa hakuna aliyetoa majibu ya kueleweka.
Umefanya vyema mzee baba