Gharama za ujenzi wa chumba kimoja

Wakuu naomba mchanganuo was gharama ya chuma kimoja na choo cha ndani. Ukubwa wa chumba mita 3 kwa 3.
Ukubwa wa choo mita 1 kwa 0.5. Milango miwili was kuingia chumbani na was kuingia toilet.
Madirisha mawili moja kubwa LA chumbani na moja dogo la chooni.
Finishing ni simple tiles.
 
Choo cha 0.5m unaingiaje kamanda? Hata ukisema uingie kiubavu ubavu hupiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha Huu Uzi umenichekesha kinoma Aisee hivi kwann umeamua kutumia Verified account Kijana wa Geor Dev
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom