Gharama za ufugaji wa kuku 300 wa nyama

nimbagonza

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
1,023
716
Natumaini hamjambo wana jukwaa.

Samahani naomba mwenye utaalamu anisaidie gharama za kuweza kufuga kuku wa broiler kiasi tajwa hapo juu, tangu wk ya kwanza mpk ya mwisho, kuanzia manunuzi ya vifaranga, chakula, maji, umeme na chanjo banda liko tatyari

Asanteni.
 
Mkuu sidhani kama kuna mtu ambaye anaweza kuja kukata kiu yako. Cha msingi cha kunote ni operation cost ni Tshs. 4500 per chick kuku wa wiki 4 mpaka siku 30.
 
Kifaranga kimoja 1500 kwahyo kama ni 300 andaa 450000
Chakula mifuko kama 12, mmoja maximum 60000
Maji, umeme na chanjo watakuja wengine kuongezea
 
Back
Top Bottom