Gharama za mtoko (Date): Kati ya mwanamke na mwanaume, nani huwa anaumia…?

Gharama kubwa ni za kaka, sababu kwanza anajambajamba kujua untatumia kinywaji cha bei gani!!!! Utakula LOBSTER AU IRANIAN CAVIAR?!!! Na sio kuwa unakula hivi vitu kutia hasara!!!!! No! Ni your normal daily life kujichana na haya mavituzi! (@nahamu kweli na caviar sijaila siku nyingi dear!!!!!!!!!! chupi itakubanaje kama we ndo DEAR MPYAAA!!!!)

Kubwa kuliko ni INDIRECT COST ambayo inakuja baada ya kujichana wenyewe mivituz kama mgomba vilee, Mmeshiba ndii ma stater, main course na desert la kufa mtu, all along bi dada haishi kukusifia Suti limekutoa kama la GUCCI au designer yoyote, lether mguuni haachi kuitupia sifa, I phone five uliyoninginiza juu ya meza nayo she digs it, wallet lako la alligator nalo unamflash nalo jst incase. Hapo kutokana na mwendo wa maongezi ya dinner unajua PTS 3 MUHIMU Ushazibeba. Baada ya menu, mnatirisha wine hapo kama babu yako ana viunga vya grapes France au Italiy kumbe hata vya dom hanaaa!

Ununda wa wanawake ndo utaouna baada ya kusaza, na bili ukishalipa hapo unangojea GOODBYE KISS ili kupunguza shotiii! Kwenye gari ndo UNAPEWA KUBWA KULIKO!!!!! After giving it a lot of thoughs why shouldnt we be friends!!!!!!!! Seriously naona tuwe tu marafiki!!!!!!!!!!! NYAMAAAFFF!!!!! WTF!!!!!Kwanini wkt nakwambia tutoke hukusema hilo? :target: HAYA SHUKA KWENYE GARI LANGU UPESIIIIIIII!!!!!!!! (Iliwahi kumkuta mtu ohoooo! Lara 1 mwambie mama yako mje mnichukue huku morrocco, Nafwaaa! mmmmh, mmmmh vilio tu! saa 9 usiku hiyo, zamani lakini A level!)
 
ili kuondoa hofu mnaenda sehemu zilizo karibu karibu na ATM..... ila kwa maisha ya sasa angalau ukienda na kilo 2 au tatu inatosha zaidi ya hapo huo si mtoko ni umekwenda kuchunwa
 
Hivi kumbe kunakuwaga na gharama??? m km kawaida No Tax wala nini,, utapanda daladala2,, Maisha yenyewe ya kukupandisha tax yako wp???
NO Bugger wala piza utakunywa urojo kwa mpemba mitaa ya ilala najua haitafika buku tano (5000) ss hzo gharama zpo wp??? Labda cjui nyie wenzangu,, ngoja nkae kmya:shut-mouth::shut-mouth:
 
Kama maisha yako ni ya kimovie lazima uhumie!

Kufake ndiko kunako waumiza wengi! Mtu ana taka kutumia kuzidi kipato chake! Mwisho wa siku lazima uhumie tuu!
 
kudate ni kupoteza hela tu.mfuate mtoto kwao halafu muombe akusindikize ukifika getini kwao tu mpe kiss,kwishney!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom