meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,349
- 4,674
sera inasema matibabu ya wazee 60+ ni bure.tuangalie kama tunaweza kuwaingiza kwenye hili kundi la msamaha.
ndio maana kuepusha haya matatizo ndio maana kwa wenzetu huko Marekani Rais analipwa mafao kwa miaka 10 baada ya kustaafu na baada ya hapo anaweza kuongezewa miaka 5 kwa executive order ya sitting president. Hii ni kuzuia mtu kutumikia urais kwa miaka 8 halafu alipwe mafao miaka 20! Hivyo ukiamua kugombea Urais ukiwa na umri mdogo ni juu yako. Mfano mwaka jana nakumbuka Rais Carter aliibiwa baiskeli yake alipoenda dukani kwa vile kwa sasa hana ulinzi wa aina yeyote ingawa FBi wanaendela kumfuatilia kwa extra security lakini sio kama huku kwetu.