Gharama za matibabu ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, nchini India kwa kipindi cha miezi mitano ni kufuru!

Kama yalivyo majizi siku zote...hivi sasa Spika Ndugai eti naye taratibu aanza kumkana mwizi-in-chief mwendazake ambaye alibariki achote dola 12,000,000 eti kwa matibabu. Je hela zilizoporwa kwenye maduka ya kubadilishia fedha kwa mtutu wa bunduki ziliwekwa account gani na zilitumikaje?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Huyu ni mwivi kabisa
Kwa uchambuzi wa ripoti ya CAG, Bw. Job Ndugai alikaa India kwa miezi mitano, sawa na siku 150. Kwa siku moja alilipwa posho ya dola 500 sawa na Sh. 1,160,100.00, na hivyo kwa miezi mitano alilipwa dola 75,000 sawa na Sh. 174,015,000.00.

Akiwa India alikuwa na wasaidizi wawili – maana alihamishia ofisi yake huko huko hotelini. Kwa gharama ya dola 450 sawa na Sh. 1,044,090.00 kila moja kwa siku, walilipwa dola 900 sawa na Sh. 2,088,180.00 kwa siku. Kwa siku 150 walizokaa India, walilipwa dola 135,000 sawa na Sh. 292,950,000.

Kwa ujumla, matibabu ya Ndugai kwa miezi mitano huko India yalitumia posho za sh. 466,965,000. na hapo bado gharama za hospitali huko India, na tiketi za ndege kwa watu wote hao, na bado gharama alizokuwa anatumia mkewe.

Takwimu hizi zilikuwa ni kwa mujibu wa ukaguzi wa CAG katika Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika hospitali za India.

Wakati huo huo tusisahau kuwa Bw. Job Ndugai aliendelea kupata mshahara wake na posho zake kama Spika wa Bunge ambazo idadi yake naomba kama kuna watu humu wanazijua watusaidie kuzitoa.

Hakuna anayejua kwa uhakika Bw. Job Ndugai alikuwa anaumwa ugonjwa gani uliosababisha hadi ofisi yake ihamishiwe 5-star hotel nchini India ambako alichukua VIP suite nzima. Mpaka sasa
gharama za matibabu yake ni siri kama ulivyo ugonjwa wake.

UPDATE:

Soma pia

Umeshasema alihamishia ofisi india, kwa hiyo ni sawa alivyokuwa akilipwa mshahara na posho..
Huyu anastahili pongezi kama aliweza kukaa apollo miezi yote bila kutetereka ulaya..alifuata kanuni za bunge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wezi wa kuku wanaitwa vibaka hawa wezi wa hila wanapigiwa makofi barabarani.
 
Kwa uchambuzi wa ripoti ya CAG, Bw. Job Ndugai alikaa India kwa miezi mitano, sawa na siku 150. Kwa siku moja alilipwa posho ya dola 500 sawa na Sh. 1,160,100.00, na hivyo kwa miezi mitano alilipwa dola 75,000 sawa na Sh. 174,015,000.00.

Akiwa India alikuwa na wasaidizi wawili – maana alihamishia ofisi yake huko huko hotelini. Kwa gharama ya dola 450 sawa na Sh. 1,044,090.00 kila moja kwa siku, walilipwa dola 900 sawa na Sh. 2,088,180.00 kwa siku. Kwa siku 150 walizokaa India, walilipwa dola 135,000 sawa na Sh. 292,950,000.

Kwa ujumla, matibabu ya Ndugai kwa miezi mitano huko India yalitumia posho za sh. 466,965,000. na hapo bado gharama za hospitali huko India, na tiketi za ndege kwa watu wote hao, na bado gharama alizokuwa anatumia mkewe.

Takwimu hizi zilikuwa ni kwa mujibu wa ukaguzi wa CAG katika Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika hospitali za India.

Wakati huo huo tusisahau kuwa Bw. Job Ndugai aliendelea kupata mshahara wake na posho zake kama Spika wa Bunge ambazo idadi yake naomba kama kuna watu humu wanazijua watusaidie kuzitoa.

Hakuna anayejua kwa uhakika Bw. Job Ndugai alikuwa anaumwa ugonjwa gani uliosababisha hadi ofisi yake ihamishiwe 5-star hotel nchini India ambako alichukua VIP suite nzima. Mpaka sasa
gharama za matibabu yake ni siri kama ulivyo ugonjwa wake.

UPDATE:

Soma pia

IMG-20210415-WA0256.jpg
 
Ndugai ni mwizi tu kama wezi wengine na ndio maana amekimbia kujitafutia kinga feki ili ajilinde dhidi ya haki. Bogus kabisa.
 
Ndugai ni moja ya majizi makubwa sana ndani ya maccm. Eti bilioni 28 pesa za kutibiwa India!! Anaambiwa aweke mchanganuo alivyotumia bilioni 28 kwenye matibabu yake anang’aa macho!!!

Back
Top Bottom