Gharama za matibabu ya dereva wa Lissu zimefikia kiasi gani? kuna harufu ya ufisadi hapa

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Igwe wanaJF

Pamoja na umma kutokubaliana na gharama kubwa za matibabu ya Tundu huko Nairobi,sintofahamu imeendelea kuhusu kiasi kilichotumika kumtibu dereva wa Lissu ugonjwa wa kisaikolojia kwa takribani miezi minne na hatimaye sasa dereva huyo naye kupelekwa Ubelgiji pamoja na Lissu ili akapate matibabu ya msongo wa mawazo.

Je gharama za kumtibu dereva wa Lissu zimefika kiasi gani? Nani anadhibiti gharama hizi? Ni nani anayeaminika kusimamia michango?

Zaidi ya yote mbona hatujulishwi maendeleo ya afya ya dereva huyo?
 
Nilisoma kwenye health law moja ya case kuna mwanamke mjamzito alipigiwa honi akapata mshtuko ikatokea abortion kilichotokea yule mwanamke alimshtaki yule dereva

Kidogo wenzetu wamepiga hatua kila tatizo la mtu liko counted, I wonder ishu ya msongo kwetu Africa ni kawaida mpaka thread yaanzishwa
 
Igwe wanaJF

Pamoja na umma kutokubaliana na gharama kubwa za matibabu ya Tundu huko Nairobi,sintofahamu imeendelea kuhusu kiasi kilichotumika kumtibu dereva wa Lissu ugonjwa wa kisaikolojia kwa takribani miezi minne na hatimaye sasa dereva huyo naye kupelekwa Ubelgiji pamoja na Lissu ili akapate matibabu ya msongo wa mawazo.

Je gharama za kumtibu dereva wa Lissu zimefika kiasi gani? Nani anadhibiti gharama hizi? Ni nani anayeaminika kusimamia michango?

Zaidi ya yote mbona hatujulishwi maendeleo ya afya ya dereva huyo?

Tuchapishie michango ujenzi.nyumba za walimu
 
Swali gumu sana kujibiwa zaidi ya makamanda kumwaga matusi!
Kama lile la kukuacha wewe mfia chama na kumpitisha mtolea ili agombee huku mwasema mnajenga ccm mpya... kweli maajabu hayaishi haya na mtwambie mliwapa ngapi hao wanaohama na kurudishwa kwenye nafasi zao
 
Igwe wanaJF

Pamoja na umma kutokubaliana na gharama kubwa za matibabu ya Tundu huko Nairobi,sintofahamu imeendelea kuhusu kiasi kilichotumika kumtibu dereva wa Lissu ugonjwa wa kisaikolojia kwa takribani miezi minne na hatimaye sasa dereva huyo naye kupelekwa Ubelgiji pamoja na Lissu ili akapate matibabu ya msongo wa mawazo.

Je gharama za kumtibu dereva wa Lissu zimefika kiasi gani? Nani anadhibiti gharama hizi? Ni nani anayeaminika kusimamia michango?

Zaidi ya yote mbona hatujulishwi maendeleo ya afya ya dereva huyo?
Ufisadi gani??? Kwani serikali imechangia chochote pale
 
Tumekopi staili yenu kwani lowassa aliwapa ngapi mkamtosa slaa!
 
Kama lile la kukuacha wewe mfia chama na kumpitisha mtolea ili agombee huku mwasema mnajenga ccm mpya... kweli maajabu hayaishi haya na mtwambie mliwapa ngapi hao wanaohama na kurudishwa kwenye nafasi zao
Jikite kwenye hoja
 
Kuna watu wajinga hadi kupitiliza,we unataka kujua garama ya matibabu ya lissu na dreva wake....we inakuhusu nini wakati hjachangia Hata sumni.....
Maswali mengine ni ya kipumbv kabisa...

Ova
Jibu swali
 
Back
Top Bottom