Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Igwe wanaJF
Pamoja na umma kutokubaliana na gharama kubwa za matibabu ya Tundu huko Nairobi,sintofahamu imeendelea kuhusu kiasi kilichotumika kumtibu dereva wa Lissu ugonjwa wa kisaikolojia kwa takribani miezi minne na hatimaye sasa dereva huyo naye kupelekwa Ubelgiji pamoja na Lissu ili akapate matibabu ya msongo wa mawazo.
Je gharama za kumtibu dereva wa Lissu zimefika kiasi gani? Nani anadhibiti gharama hizi? Ni nani anayeaminika kusimamia michango?
Zaidi ya yote mbona hatujulishwi maendeleo ya afya ya dereva huyo?