Mgoda simtwange
Senior Member
- Sep 7, 2012
- 168
- 64
Wadau habari zenu, bila shaka mko safi. kama hampo shwari, basi pokeni salamu zanhu za pole.
Ningependa mnihabarishe juu gharama za kutangaza biashara kwenye radio na magazeti na utaratibu mzima wa kutangaza biashara kupita vyombo hivi ukoje? Yaan Nahitaji kujua gharama kwa tangazo moja ni sh ngapi? kgezo cha bei ya tangazo ni nini? Je tangazo langu nitatangazwa kwa mfululizo wa kipindi gani yaani wiki, miezi au mwaka? na mara ngapi kwa saa, siku, wiki, mwezi etc