Gharama za mapambano dhidi ya UKIMWI nani anabeba?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
17,871
33,235
Kwa Tanzania zaidi ya 99.99% ya huduma kwa waathirika wa UKIMWI zinatolewa bila ya kulipia. Lakini hizo huduma zinazotolewa bila ya kulipia zenyewe hazikupatikana bure, Jee ni nani ambaye anatoa hela za mapambano dhidi ya UKIMWI?

Kwa mfano dawa za kufubaisha VVU (ARVs), huduma za ushauri na kupima, ruzuku za virutubisho, tohara kwa wanaume, na miradi na misaada midogomidogo (Microfinance Grants) ya kifedha hutolewa bila ya kulipia.

Jee gharama za mapambano haya zinagharamiwa na Serikali yetu ama ni Mabeberu wamejipenyeza kwa kujifanya wanasaidia ili mbele ya safari waweze kuyumbisha nchi yetu!?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom