Gharama za maisha yako,wewe mwenyewe,vyanzo vya pesa kuhama mkondo

mkaamweusi

mkaamweusi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2013
Messages
344
Points
500
mkaamweusi

mkaamweusi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2013
344 500
jamani leo nilikuwa natafakari kwamba,embu tuchkulie wewe ndo mwamuzi wa design ya maisha yako unayotaka kuishi,sasa ukaamua uwe mjasiria mali,kwamba wewe unatengeneza pesa flani ili zigharamie maisha flani unayoyataka,

mfano tuseme umeamua mimi bhana inyeshe au liwake,sitaki kuishi kimaskini,nitapanga nyumba nzima/wakati huo nina jenga nyumba yangu yene sifa ya utulivu,upepo mzuuri,eneo kubwa lenye mazingira saafi,facilities kama majakuzi ya kuogea,chumba cha kuabudu,kutafakari na kusoma kiwepo na sehemu ya watoto na wageni hiviii!

nitakwenda na fasheni za nguo,gari na marafiki wa kitaifa na kimataifa yaani to live abundantly
nikaja gundua kuwa kuna utegemezi mkubwa wa wewe mwenyewe mtizamo wako kwa maana ya unaamua nini pale ambapo biashara flani hailipi kipindi hiki cha awamu ya tano?,
kwa wale ambao wamepita kidogo kwenye uchumi kuna equation flan hivi ya Y=c+mx+e yani hapo tuna error term,independent variable,constant term na dependent variable,sasa nilikuwa nataka kutengeneza theory flani ambayo guiding model yake iwe hiyo apo,

lengo ni kutaka kutanabaisha kwamba yupi abadilike,yupi anatakiwa aathiriwe na mabadiliko ya mwengine,bila kumuathiri flani(contant term) na makosa madogo madogo error term)? ili niweze kuleta tija kwa maisha na waajiriwa na waliojiajiri kuliko kulalamika tuu,ooh maisha yamekuwa ngumu,biashara mauzo yameshuka,

afu wakati huo nikitaka kuwapa moyo kuwa yule mwenye guts za kusavaivu atasavaivu no matter what,yaani kwa kurejea Darnwism Theory "survival for the Fitest" nisaidie hapo wana jamvi!
 
I

iMind

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Messages
1,958
Points
2,000
I

iMind

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2011
1,958 2,000
Unachotaka ni ku relate malengo, na process ya kufikia malengo uliyojiwekea. Tena uhusiano huo pia uwe na uhusiano na parameter zingine za kimazingira ( environmental variable).

Tatizo moja ninaloliona mimi mara nyingi watu wanaweka malengo bila ku dadavua process ya kuwafikisha katika malengo yake. Yaani anasema tu kwa mfano mwaka huu nataka ninunua gari , anaishia hapo. Hivyo basi anashindwa ku monitor from time to time kama lengo lake linaenda vizuri au la.

Sasa basi, nafikiri unahitaji kuwa na multiple equations. Yaani equation moja kwa kila chanzo chako cha fedha. Kama unachanzo kimoja fine utakuwa na equation moja.

1. Then quantify malengo yako. tuite M
2. Distribute malengo yako kwa kipindi unachotaka kufikia (Time period). Tuite T
3. Tafuta kipato constant yani kipato ambacho jua liwake mvua inyeshe kitakuja tu. Tuite I
4. Angalia factor zinazo athiri kipato chako kufanya aidha kiongezeke au kipungue. Na hapa ndo kuna mtihani maana inabidi hizo factor ziwe measurable na uweze kuzi monitor na kufuatilia. Pili Je factor hizo ziko ndani ya uwezo wako? Tu assume factors hizi ni measurable na ziko ndani ya uwezo wako tuite X.

Now put in one eqution. I will be back.
 
very nice!mkuu kuna jambo umenifungua!
 
Forum statistics

Threads 1,283,909
Members 493,869
Posts 30,805,773
Top