Gharama za magari ya usafiridhaji samaki kutoka Mwanza hadi Dar

berrie

Senior Member
Jul 28, 2015
155
206
Habarini wana JF,

Napenda kujua kuhusu gharama na kampuni zinazojihusisha na usafirishaji wa samaki wabichi kutoka Mwanza hadi Dar.

Ahsanteni
 
ELFU 4 KWA SAMAKI MMOJA NA MIA TATU KWA KILA DAGAA MMOJA.
 
Back
Top Bottom