Kiogozi mbona MBIO hivyo ..... hadi mchapio duuuuuuuHabarini wana JF,
Napenda kujua kuhusu gharama na kampuni zinazojihusisha na usafirishaji wa samaki wabichi kutoka Mwanza hadi Dar.
Ahsanteni
Aisee! Kama ni hivi kweli basi biashara ya usafirishaji inalipa.ELFU 4 KWA SAMAKI MMOJA NA MIA TATU KWA KILA DAGAA MMOJA.
Mkuu kusema ukweli nitakudanganya kwa sasa. Labda niulize kesho then nitakupa feedback.sasa mkuu mi nnamzigo wangu Dodoma napataje hayo magari yenye freezer ya kukodi
Hao dagaa mwawahesabuje .... mana walivyo wadogo si mtihani huoELFU 4 KWA SAMAKI MMOJA NA MIA TATU KWA KILA DAGAA MMOJA.