Gharama za kwenda Mtwara kufuata korosho ni kubwa kuliko bei ya 1000 kwa kilo

Huyo Kanali wa jeshi kama alikwambiakweli mambo haya na in confidence je, alikuagiza pia ulete humu JF??!! Unataka kutuambia viongozi wetu waandamizi wa JWTZ hawana siri kuhusu na masuala ya operation zao??!! Yaani huyo senior officer wa jeshi eti ndiyo akuambie wewe 'raia' habari hizo nyeti?? Dah...huko ni kuwadhalilisha askari wetu...ni vema uwe makini na taarifa kuhusu jeshi ...kuna sheria na taratibu zake...unaweza ukafuatiliwa fasta ili umtaje huyo senior officer vinginevyo unaweza kurushwa kichura mpaka unaipatapata...kuweni makini...

We we baki na uoga wako,na kesho wanafata ada ya kisima
 
Back
Top Bottom