Gharama za kuweka terrazo vs paving block

dimple

Member
Dec 6, 2016
46
125
Ok,unaweza nisaidia kama unajua bei zimekaaje per sqm
Terrazo is more expensive. Terrazo is more durable kama kuna movement kubwa ya watu na inadumu kwa mda mrefu sana compared to paving blocks. Paving blocks are less cheaper but more austethic pleasing.
 

Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
6,715
2,000
Pavements ni bora, flexible hata ukitaka kubadilisha, haziweki crack n.k.
Umesema kweli mkuu, isipokuwa muziki wake ni kwenye ratio. Maana eneo la ft 40 ×40 ukisikia limelamba mifuko 100 ya saruji, usimuite fundi mwizi, kama unataka ujenzi wa 'kiume'.
 

Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
6,715
2,000
Mkuu utawekaje Terrazo nje?
Nje zinawekwa pev.

Kila kitu kwenye ujenzi kina sehemu yake.

Terrazo husakafiwa ndani na siku hizi ujenzi huo umefutwa na tiles za sampuli na gharama uipendayo mjenzi.

Terrazo hata zingelikuwa za aina na thamani gani, ukizisakafia kwa ujenzi wa kisasa, nyumba yako itaonekana ni ya kizamani na kupitwa na wakati.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom