Gharama za kuwapeleka watoto JKT ni mzigo mkubwa kwa wazazi

Mdogo wangu wamempangia aende Tabora huko. Wazazi wapo aende lakini mimi nimepiga pin haendi mahali. Yani akawe chakula ya migambo? Bora mabaharia wa uswazi tu.
 
Pole sana. Mimi niko kwenye mtanziko huo. Nimetumia jana laki 2 kununua vifaa, tena kwa kubana kweli kweli. Bado nauli. Naumia kweli maana hela haipo.

Jiwe ni laana, wacha aende zake, laaniwe Jiwe na wapambe wake.
Jiwe tena???.
 
Kuwapeleka ni viherehere vyenu ,wengi hawaendi na Sijaona matokeo ya wao kutokwenda.
 
Nawakumbusha tu. Dunia inaenda kasi sana. Ukijiona kipato hakieleweki usizae hamna mtu wakulea watoto watoto wako.
 
Back
Top Bottom