Mkuu upon Canada nn maka ulivy fafanua nimependaCanada ni nchi ya 10 Duniani kwa uchumi mkubwa huku pato la wastani wa kila mwananchi ni $47,771 pamoja na kuwa nchi ya 10 kiuchumi mkubwa ni nchi ya pili Duniani kwa Maendeleo makubwa ya kijamii ambayo yanajumuisha vitu 3
1 Mahitaji ya Msingi ya Binadamu, ambayo yanajumuisha huduma za matibabu, usafi wa mazingira, na makazi bora
2 Misingi ya Ustawi, ambayo inashughulikia elimu ,Upatikanaji wa Techinologia kwa wananchi pamoja na life expectancy.
3Fursa za ajira ,uhuru wa kuchagua na kuabudu ,haki za binadamu
Kuhusu kupata kazi za professional kazi zipo lakini kunavitu lazima uwe navyo kuzipata hzo kazi za professional kwanza unaitaji kupata kibali cha kufanyia kazi (Work Permit) ambapo kwa Canada zipo za aina mbili
1 Open work permits
Kibali hiki kinakuwezesha kufanya kazi kwa mwajiri yeyote ndani ya Canada lakini mwajiri wako ni lazima awe na sababu za kutosha kwa nini amekuajili wewe na si Mcanada
2 An employer-specific work permit
Kibali maalum cha kazi kinachowezesha kufanya kazi kulingana na masharti ya kibali chako cha kazi, mara nying ni kwa kazi zisizo na ujuzi (unskilled jobs) kwani Canada kazi zipo katika category 3 ambazo ni
1 Professional
2 Skilled
3 Unskilled
Kupata kazi ya A class ambayo ni za Professional ni ngumu sana narudia tena ni ngumu sana sidhani kama ww unaweza kuwa na ujuzi au weredi wa kuajiliwa ww na akaachwa mkanada pili vigezo vya kupata kazi ni vingi sana pia utapitia kwenye test zaidi ya tatu au nne ili kuweza kuqualify standard za kufanya kazi Canada kwenye Professional jobs
Sijui umesomea nini lakini ningekushauri kupata kazi za daraja ya Pili yani B Class ambazo ni Skilled ni nzuri sana na malipo yake ni makubwa sana na kupata ni vyepesi hasa kazi za Trades work zipo kazi ya TW zaidi ya 32 lakini nakutajia 4 best kwa Cadana amabzo kipato chake kwa mwaka ni zaidi ya $51,000 -75,000 Kazi hizo ni
1 Electrician
2 Plumber
3 Welder
4 Construction
Kama unataka kusoma Trust me soma hizo Course hutojuta
ufanafanuzi mzuri sanaCanada ni nchi ya 10 Duniani kwa uchumi mkubwa huku pato la wastani wa kila mwananchi ni $47,771 pamoja na kuwa nchi ya 10 kiuchumi mkubwa ni nchi ya pili Duniani kwa Maendeleo makubwa ya kijamii ambayo yanajumuisha vitu 3
1 Mahitaji ya Msingi ya Binadamu, ambayo yanajumuisha huduma za matibabu, usafi wa mazingira, na makazi bora
2 Misingi ya Ustawi, ambayo inashughulikia elimu ,Upatikanaji wa Techinologia kwa wananchi pamoja na life expectancy.
3Fursa za ajira ,uhuru wa kuchagua na kuabudu ,haki za binadamu
Kuhusu kupata kazi za professional kazi zipo lakini kunavitu lazima uwe navyo kuzipata hzo kazi za professional kwanza unaitaji kupata kibali cha kufanyia kazi (Work Permit) ambapo kwa Canada zipo za aina mbili
1 Open work permits
Kibali hiki kinakuwezesha kufanya kazi kwa mwajiri yeyote ndani ya Canada lakini mwajiri wako ni lazima awe na sababu za kutosha kwa nini amekuajili wewe na si Mcanada
2 An employer-specific work permit
Kibali maalum cha kazi kinachowezesha kufanya kazi kulingana na masharti ya kibali chako cha kazi, mara nying ni kwa kazi zisizo na ujuzi (unskilled jobs) kwani Canada kazi zipo katika category 3 ambazo ni
1 Professional
2 Skilled
3 Unskilled
Kupata kazi ya A class ambayo ni za Professional ni ngumu sana narudia tena ni ngumu sana sidhani kama ww unaweza kuwa na ujuzi au weredi wa kuajiliwa ww na akaachwa mkanada pili vigezo vya kupata kazi ni vingi sana pia utapitia kwenye test zaidi ya tatu au nne ili kuweza kuqualify standard za kufanya kazi Canada kwenye Professional jobs
Sijui umesomea nini lakini ningekushauri kupata kazi za daraja ya Pili yani B Class ambazo ni Skilled ni nzuri sana na malipo yake ni makubwa sana na kupata ni vyepesi hasa kazi za Trades work zipo kazi ya TW zaidi ya 32 lakini nakutajia 4 best kwa Cadana amabzo kipato chake kwa mwaka ni zaidi ya $51,000 -75,000 Kazi hizo ni
1 Electrician
2 Plumber
3 Welder
4 Construction
Kama unataka kusoma Trust me soma hizo Course hutojuta
Mkuu izo asante kwa ufafanuzi bt ungeweka list yote badala ya 4 tu.. Na je, unaweza ku apply ukiwa Tz au mpaka uwe huko kwanza?
Nimeweka hizo nne kutokana na umuhimu wake na wepesi wake sidhani kama utaitaji kuwa na akili sana au IQ kubwa kusoma fani hizo kinachoitajika ni uelewa wa kawaida sana pia kuna kitu unatakiwa kujua binadamu yeyote unatakiwa kufikiria about ur future coz ndio tunaigopa kuliko past .Mkuu izo asante kwa ufafanuzi bt ungeweka list yote badala ya 4 tu.. Na je, unaweza ku apply ukiwa Tz au mpaka uwe huko kwanza?
Je kama mtu amesomea Bongo miongoni mwa hizo course na akazamia uko mkuu?Canada ni nchi ya 10 Duniani kwa uchumi mkubwa huku pato la wastani wa kila mwananchi ni $47,771 pamoja na kuwa nchi ya 10 kiuchumi mkubwa ni nchi ya pili Duniani kwa Maendeleo makubwa ya kijamii ambayo yanajumuisha vitu 3
1 Mahitaji ya Msingi ya Binadamu, ambayo yanajumuisha huduma za matibabu, usafi wa mazingira, na makazi bora
2 Misingi ya Ustawi, ambayo inashughulikia elimu ,Upatikanaji wa Techinologia kwa wananchi pamoja na life expectancy.
3Fursa za ajira ,uhuru wa kuchagua na kuabudu ,haki za binadamu
Kuhusu kupata kazi za professional kazi zipo lakini kunavitu lazima uwe navyo kuzipata hzo kazi za professional kwanza unaitaji kupata kibali cha kufanyia kazi (Work Permit) ambapo kwa Canada zipo za aina mbili
1 Open work permits
Kibali hiki kinakuwezesha kufanya kazi kwa mwajiri yeyote ndani ya Canada lakini mwajiri wako ni lazima awe na sababu za kutosha kwa nini amekuajiri wewe na si Mcanada
2 An employer-specific work permit
Kibali maalum cha kazi kinachowezesha kufanya kazi kulingana na masharti ya kibali chako cha kazi, mara nying ni kwa kazi zisizo na ujuzi (unskilled jobs) kwani Canada kazi zipo katika category 3 ambazo ni
1 Professional
2 Skilled
3 Unskilled
Kupata kazi ya A class ambayo ni za Professional ni ngumu sana narudia tena ni ngumu sana sidhani kama ww unaweza kuwa na ujuzi au weredi wa kuajiriwa ww na akaachwa mcanada pili vigezo vya kupata kazi ni vingi sana pia utapitia kwenye test zaidi ya tatu au nne ili kuweza kuqualify standard za kufanya kazi Canada kwenye Professional jobs
Sijui umesomea nini lakini ningekushauri kupata kazi za daraja ya Pili yani B Class ambazo ni Skilled ni nzuri sana na malipo yake ni makubwa sana na kupata ni vyepesi hasa kazi za Trades work zipo kazi ya TW zaidi ya 32 lakini nakutajia 4 best kwa Cadana amabzo kipato chake kwa mwaka ni zaidi ya $51,000 -75,000 Kazi hizo ni
1 Electrician
2 Plumber
3 Welder
4 Construction
Kama unataka kusoma Trust me soma hizo Course hutojuta
Sidhani kama Dunia ya sasa inaitaji mtu kuzamia kwenda nchi nyingine kinyume na sheria wakati kufata sheria kwenda ni gharama ndogo kuliko gharama ya kujificha na kukwepa mkono wa sheria utakapokamatwaJe kama mtu amesomea Bongo miongoni mwa hizo course na akazamia uko mkuu?
Wemzetu wako very strictly kwenye elimu na afya, hawataki mzahaaSidhani kama Dunia ya sasa inaitaji mtu kuzamia kwenda nchi nyingine kinyume na sheria wakati kufata sheria kwenda ni gharama ndogo kuliko gharama ya kujificha na kukwepa mkono wa sheria utakapokamatwa
Kwanza unatakiwa kujua wazungu hawaiamini elimu ya Bara la Africa sehemu pekee ndani ya Africa ambayo kidogo elimu yake wanaiamini ni South Africa tu so kama ww ni Fundi wa Fani nilizozisema hapo juu kuja kupata kazi Canada Unaitaiji kupitia kwenye test nying sana mpaka upate kibali cha kufanya kazi kama fundi kamili tofauti ungesomea hapa.
UTARATIBU
Kama umeesomea nje ya Canada utaratibu ni Kwanza ni lazima ujisajili kwenye vyama ya mafundi au Trades workers katika mji utakao fikia ambavyo vinajulikana kama (IBEW no.213) unajisajili na kufanya mitihani ambapo ufaulu ni kuanzia 70% kwenda juu unafanya mitihani 4 ukipass unapata cheti cha Red Seal journeyman certification baada ya hapo unakwenda tena shule kujifunza codes ambazo zinajulikana kama (Canadian electrical code) kumbuka codes zinatofautiana kutokana na course yako hapa nazungumzia mafundi umeme kujifunza codes hizo chuo utalipia kiasi cha $1825 + $1,000 ya cost of books and taxes course ni ya wiki 6 tu
Pia unatakiwa kusoma kitabu cha “Canadian Construction and Maintenance Exam kitabu ambacho kinaelezea mifumo yote ya umeme na miundombinu ya Canada na maswali ya mitihani huwa yanatoka kwenye kitabu hiki but kama unavyojua uwezi kujua ni maswali gai yatatoka kwenye mtihani wako kitabu hiki kina sura 86 tu ambapo baada ya kumaliza wiki 6 za mafunzo utafanya mtihani wa mwisho tena ukipass with frying colours utapatiwa cheti then unaruhusiwa kufanya kazi Canada
Baada ya Ulinzi na Usalama kinachofata ni Afya na Elimu bila kuwa na elimu bora na huduma bora za afya ndani ya Taifa ,lazima taifa lako litakua ni taifa la wapumbavu na wagonjwaWemzetu wako very strictly kwenye elimu na afya, hawataki mzahaa
kaka gharama za kusoma canada ni very expensive kwa international student naongea kama expericed person may be baba yako awe fisadi au capitalist njia rahisi nenda kama kutembea then unazamia unatafuta makaratasi then unasoma kiurahisi saaaana mind you hakuna visa ngumu kupata kama ya canada duniani hapaJe uchumi wa Canada ukoje kwa sasa?
Kazi zikoje kwa professional?
Gharama za kusoma vipi?
Nilikuwa nataka kulinganisha na US maana najua Canada ni expensive zaidi
Mkuu sasa kusomea Plumber Welder etc lazima usomee bongo kabla ya kuomba kazi Canada au unaweza kuomba kusoma CanadaCanada ni nchi ya 10 Duniani kwa uchumi mkubwa huku pato la wastani wa kila mwananchi ni $47,771 pamoja na kuwa nchi ya 10 kiuchumi mkubwa ni nchi ya pili Duniani kwa Maendeleo makubwa ya kijamii ambayo yanajumuisha vitu 3
1 Mahitaji ya Msingi ya Binadamu, ambayo yanajumuisha huduma za matibabu, usafi wa mazingira, na makazi bora
2 Misingi ya Ustawi, ambayo inashughulikia elimu ,Upatikanaji wa Techinologia kwa wananchi pamoja na life expectancy.
3Fursa za ajira ,uhuru wa kuchagua na kuabudu ,haki za binadamu
Kuhusu kupata kazi za professional kazi zipo lakini kunavitu lazima uwe navyo kuzipata hzo kazi za professional kwanza unaitaji kupata kibali cha kufanyia kazi (Work Permit) ambapo kwa Canada zipo za aina mbili
1 Open work permits
Kibali hiki kinakuwezesha kufanya kazi kwa mwajiri yeyote ndani ya Canada lakini mwajiri wako ni lazima awe na sababu za kutosha kwa nini amekuajiri wewe na si Mcanada
2 An employer-specific work permit
Kibali maalum cha kazi kinachowezesha kufanya kazi kulingana na masharti ya kibali chako cha kazi, mara nying ni kwa kazi zisizo na ujuzi (unskilled jobs) kwani Canada kazi zipo katika category 3 ambazo ni
1 Professional
2 Skilled
3 Unskilled
Kupata kazi ya A class ambayo ni za Professional ni ngumu sana narudia tena ni ngumu sana sidhani kama ww unaweza kuwa na ujuzi au weredi wa kuajiriwa ww na akaachwa mcanada pili vigezo vya kupata kazi ni vingi sana pia utapitia kwenye test zaidi ya tatu au nne ili kuweza kuqualify standard za kufanya kazi Canada kwenye Professional jobs
Sijui umesomea nini lakini ningekushauri kupata kazi za daraja ya Pili yani B Class ambazo ni Skilled ni nzuri sana na malipo yake ni makubwa sana na kupata ni vyepesi hasa kazi za Trades work zipo kazi ya TW zaidi ya 32 lakini nakutajia 4 best kwa Cadana amabzo kipato chake kwa mwaka ni zaidi ya $51,000 -75,000 Kazi hizo ni
1 Electrician
2 Plumber
3 Welder
4 Construction
Kama unataka kusoma Trust me soma hizo Course hutojuta
Visa ya Canada ni ngumu sana wako makini sana na watu wanaoingia nchini kwao.kaka gharama za kusoma canada ni very expensive kwa international student naongea kama expericed person may be baba yako awe fisadi au capitalist njia rahisi nenda kama kutembea then unazamia unatafuta makaratasi then unasoma kiurahisi saaaana mind you hakuna visa ngumu kupata kama ya canada duniani hapa
Umenifumbua macho kumbe nikienda huko baada ya mwaka nikirudi naweza kumtukana hata dangoteCanada ni nchi ya 10 Duniani kwa uchumi mkubwa huku pato la wastani wa kila mwananchi ni $47,771 pamoja na kuwa nchi ya 10 kiuchumi mkubwa ni nchi ya pili Duniani kwa Maendeleo makubwa ya kijamii ambayo yanajumuisha vitu 3