Gharama za kupimiwa kiwanja

Anko Kong

Senior Member
Jul 3, 2020
130
72
Wasalaam wakuu.

Wakuu anayejua gharama za kupimiwa kiwanja aje tujuzane hapa, maana kuna jamaa wamekuja kupima kiwanja changu wamenambia nilipie laki moja lakini hawatowi hati miliki na kuna baadhi ya watu wameshapimiwa.

Nahitaji maoni yenu wakuu kiwanja kipo Mwanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom