Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu alileta tangazo kule jukwaa la magonjwa kuhusu hiyo huduma tz......Za jioni wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba msaada kwa anayejua gharama na sehemu gani wanatoa hiyo huduma!
Pia mawasiliano kama unayo ya huko wanakotoa hiyo huduma !
Natanguliza shukrabi zangu na Mwenye enzi Mungu awabariki!
Nina shaka na kiwango chako cha elimu ya dunia na kiroho. Pia kama una mke na watoto wakubwa usiwaonyeshe comments zako, WATAKUDHARAU SANA.wewe akiri yako ni mzoga? hizo njia za kupata mtoto ni njia za MUNGU?
Tena kwa pesa atakayolipa bongo bora aende SA...... huduma za uhakika na atakuwa kama kiholiday fulani kupunguza stressHuduma hiyo inapatikana South Africa kwa Africa huku kwingine utaliwa pesa yako bure.
Nimeshuhudia watu watatu wameenda na wakafanikiwa.Tena kwa pesa atakayolipa bongo bora aende SA...... huduma za uhakika na atakuwa kama kiholiday fulani kupunguza stress
acha uongo mkuu hapa bongo kuna hosptal mbili na watu wamefanikiwa usiongee jambo usilolijuaHuduma hiyo inapatikana South Africa kwa Africa huku kwingine utaliwa pesa yako bure.
Basi mkuu msaidie hakuna tatizo.acha uongo mkuu hapa bongo kuna hosptal mbili na watu wamefanikiwa usiongee jambo usilolijua
sio kweli bongo wanafanya vizuri tu nimeona mtua aliefanikiwa .huko nje gharama kubwa sana jamani hapa bongo m 20Tena kwa pesa atakayolipa bongo bora aende SA...... huduma za uhakika na atakuwa kama kiholiday fulani kupunguza stress
kwanini watu mnaongea mambo msiyoyajua lakini sio vizuri mkuu mnamchanganya mwenye shida .ukiulizwa sababu za kuponda ivf ya bongo unayo?Basi mkuu msaidie hakuna tatizo.
Mkuu nashauri umsaidie hakuna tatizo.kwanini watu mnaongea mambo msiyoyajua lakini sio vizuri mkuu mnamchanganya mwenye shida .ukiulizwa sababu za kuponda ivf ya bongo unayo?
YapNimeshuhudia watu watatu wameenda na wakafanikiwa.
ni kweli hapa dar zipo mbili hyo ya mbezi ni mpya naijua ila mikocheni wapo muda ni wazoefu aende mikocheniKuna mtu alileta tangazo kule jukwaa la magonjwa kuhusu hiyo huduma tz......
Nadhani hospitali ipo sijui mbezi???? Katafute huo uzi
Pia kuna womens clinic mitaa ya mikocheni kama sikosei(nahisi karibu na baraka plaza kuna kibao)
Kwenye ule uzi gharama sijui ilikuwa $10,000??????? (Sina hakika, utafute)
HaswaaaaYap
Succee rate ya sa ni juu zaid ya za hapa bongo
Pia wapo vizuri kwenye vipimo na hawana longolongo za kibongo
Zaidi wanarudishia 5 blastocyst...... ambayo ni bora zaidi kuliko 3 days ya bongo (unless bongo nao siku hizi wanafanya 5 days)
kweli nje wapo vizuri ila gharama ni kubwa kumbuka unatakiwa kwa kipindi cha miezi kama mitatu kabla ya kupandikizwa uwe kwenye tiba. mbalimbali so kuna kwenda na kurudi kama mara tano hivi mpaka kupandikizwa kama ana hela aende huko ila hata mikocheni kuna watu wamefanikiwa tusifie vya kwetu .yule dokta wa pale sio mbongo hata anakuja siku maalumu na kugeuzaYap
Succee rate ya sa ni juu zaid ya za hapa bongo
Pia wapo vizuri kwenye vipimo na hawana longolongo za kibongo
Zaidi wanarudishia 5 blastocyst...... ambayo ni bora zaidi kuliko 3 days ya bongo (unless bongo nao siku hizi wanafanya 5 days)
Nje inaweza ikawa gharama lakini huduma nzuri.sio kweli bongo wanafanya vizuri tu nimeona mtua aliefanikiwa .huko nje gharama kubwa sana jamani hapa bongo m 20