Gharama za kuingiza gari tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gharama za kuingiza gari tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by KASRI, Sep 23, 2009.

 1. K

  KASRI Member

  #1
  Sep 23, 2009
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Habari wana JF;

  Nataka kununua gari (Used) Japan liende nyumbani TZ. Naomba kufahamu gharama zinakokotolewaje hapo TZ maana sifahamu itanigharimu kiasi gani. Gari lenyewe ni la mwaka 2000, bei yake CIF - Dar es Salaam ni USD 4000.

  Natanguliza shukurani kwa msaada wenu.
   
 2. Mathias

  Mathias Senior Member

  #2
  Sep 23, 2009
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu habari ya wewe
  unaweza kusearch/kutafuta (sina uhakika kama ni kiswahili sahihi) kutumia keywords [magari, ushuru,vat na mengineyo] ndani ya JF na ukapata msaada kabla hujaangaika kuuliza swali. Mambo mengi yameshadiliwa na wadau mbali mbali
  Msome Ramthods, kachambua kwa uzuri gharama ya kuingiza gari nchini
  https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/37884-ushuru-wa-magari-tanzania.html
   
 3. m

  manyusi JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2009
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 274
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Mkuu usipate tabu piga 50% ya CIF kama gari ni la mwaka 2000 and above. for a car with more than 10 yrs form date of manufacturer piga 62%ya CIF unapata ushuru na mambo mengine ya hapa nyumbani kazi kwako.
   
Loading...