Wanajamvi..
Nilikuwa na salio la 1,410,000tsh hapa airtel money. Nikahamisha sh. 1million kwenda kwa rafiki yangu, nikabakiwa na sh 407,000tsh. Maana yake gharama ya kutuma sh 1 million moja ni sh 3000.
Je hii gharama ambayo ina include zile za makampuni ya simu na kidogo sana kwa ajili ya serikali, ndo hii ilifanya tukawa tunaikashifu serikali kuwa haiwajali wanyonge au kuna gharama nyingine kubwa ambayo siifahamu? Kama ni hii tu ndo gharama ya kuhamisha 1 million basi nasema serikali ongeza kidogo ili tuchangie sh 6000 kwa kila million tunayotuma ili tuhakikishe tunachangia sote kujenga nchi.