Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gharama za kufungua kituo cha redio Tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by changman, Jul 26, 2011.

 1. c

  changman JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Habari zenu wandugu!

  Kwanza kabisa mimi ni mpya kwenye hii forum na hii ndo post yangu ya kwanza. Ningependa kufahamu ni kiasi gani cha pesa unahitaji katika kuanzisha kituo cha redio? Hapa namaanisha fees za kulipa idara ya mawasiliano na gharama nyingine kutoa gharama za vifaa vya studio.

  Asanteni sana.
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,524
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  nimekugongea like ya kwanza .... unfortunately i have no clue though i have posted a reply to encourage you and wish you lucnk
   
 3. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,098
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Usijali hapa ndio Jf kila kitu utakipata,ngoja tuwaachie wanaojua watakujuza mkuu
   
 4. c

  changman JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Thanks man, I think people who have more info will poast! Good luck to you too!
   
 5. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,971
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
 6. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,339
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  unataka kuweka radio mkoa gani? na unalenga aina gani ya radio,FM /AM or Digital. hayo ndio maswali ujiandae kuyajibu na kuyatoelea maelezo ya kina.kwa sasa TZ inapanga kusajili Digital Radio only.
  Dar itakuwa ngumu kidogo kwani wajanja hawataki ongezeko la FM radio hivyo basi inabidi ulazimishe via "network" ya nguvu e.g via Riz1,Baba Riz1,or Ministers wahusika ndo TCCRA wakufikirie.si unajua Radio ni kitu muhimu sana ktk kampeni za Siasa.
  mikoani ni rahisi kidogo kupata Leseni.
   
 7. c

  changman JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nina mpango wa kuanzisha ya FM dar. Kuanzisha hiyo ya digital inakuwa bei gani?
   
Loading...