Gharama za kufungua kituo cha FM radio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gharama za kufungua kituo cha FM radio

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ozzie, Jul 17, 2011.

 1. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Habari wakuu,
  JF ikiwa ni sehemu yenye mchanganyiko wa watu toka profession tofauti ni vizuri wajuvi wakatueleza kuhusu gharama za uanzishaji wa FM radio, aina au nguvu tofauti ya vituo vya radio, nini wahitaji kabla hujafungua kituo, gharama za uendeshaji, na namna ya kutengeneza mapato katika mazingira ya Tanzania (usiseme nenda ka google, nataka kwa mazingira yetu).
  Yamkini kuna mwana JF atahitaji kutambua vitu hivi siku moja.
   
Loading...