Bullshit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,300
- 1,494
Hello JF members
Wenye ujuzi tusaidiana katika hili kitaalam zaidi.
Nataka kuendesha biashara mfumo wa kampuni au kuanzisha kampuni 3.
Moja itajihusisha na maswala ya mavazi (yaani maswala yote kuhusu mavazi)
Nyingine itajihusisha na maswala ya chakula (Grocery and food)
Ya mwisho itajihusisha na tovuti, tunamiliki tovuti za kutoa huduma mtandaoni kama vile alibaba, instacart, booking and upwork.
Biashara tajwa hapo juu tayar tumeanza ila nataka kutoka kwenye mfumo wa kawaida na kuamisha kwenye mfumo wa kampuni.
Sikawahi kuendesha kampuni ila ninaelewa nini maana ya kampuni na mfumo wa kampuni, licha sijakamilika lakini naamini elimu nyingine nitakutana nayo mbele ya safari.
Nataka kujua mambo haya
Kujasili kampuni brela ya kuanzia milioni moja hadi Mia moja ni Tsh ngapi?
Ikiwa kampuni niyakigeni lakini imesajiliwa tanzania, kuna uwezekano wa kuingia kwenye mashindano ya aina mbali mbali ya ndani ya nchi husika? Mfano kuwania tuzo mbali mbali ndani ya nchi husika.
TIN ya kampuni Na leseni ya biashara ya kampuni malipo yake yanategemea mtaji wa kampun? kama ndio kuanzia 1M hadi 100M ni tsh ngapi?
Gharama ya Kusajili jina la biashara?
Ikiwa nataka kuajiri ni lazima niweke maelezo ya muajiriwa mpya? Na ninajaza wapi, na wanamkataji tax (napelekaje taarifa za mfanyakazi sehemu husika ili serekali ichukue tax).
Kuna ulazima kampuni kuwa na mwanasheria?.
Mambo gani kampuni ikifanya lazima ipate faini na namna gani naweza kuepuka faini za kampuni.?
Maswali hayo yabase kwenye sheria au mfumo wa tanzania
Nataka kujua kutoka kwako, inawezekana maelezo hayajanyooka ila hope nitakuwa nimeeleweka nini nataka kujua. Unaweza kuongeza ya kwako pia.
Asante