Gharama za kuchimba kisima kirefu cha urefu wa metre 200 chini ya ardhi

Sijambo, maana form two 1971 umetisha sana itabidi niwe nakujibu kwa heshima zote na ukitoa maneno ya kuudhi inabidi nikujibu kwa adabu kama mtoto anavyojibu kwa mama yake mzazi, inavyoonyesha kama ulifuata mfumo rasmi wa elimu hadi chuo kikuu miaka mitatu au minne ndo ukafunga ndoa na ndoa haikuchelewa kujibu basi naweza kulingana na mwanao wa kwanza.
Humjui wewe huyo bibi.

Sidhani kama anastahili hio heshima yako kisa umri wake tu.

Endelea kumfatilia nyuzi na comments zake utamwelewa barabara!!
 
Wacheki intra resource ltd mi kampuni nzuri niliwahi fanyanso kazi mwaka jana hawakuniangusha.ofisi zao zipo kati ya mlimani city na sinza

Namba 0754248205
Wadau naomba kupata gharama za kuchimba kisima urefu wa metre 200. Je ni kampuni gani nzuri na bei zao na inachukua mda gani. eneo la kuchimba ni Arusha kwa Morombo na Kigamboni Dar es salaam. It is a serious business guys

A very good night to you friends
Kindest regards
Mgariga
 
Wadau naomba kupata gharama za kuchimba kisima urefu wa metre 200. Je ni kampuni gani nzuri na bei zao na inachukua mda gani. eneo la kuchimba ni Arusha kwa Morombo na Kigamboni Dar es salaam. It is a serious business guys

A very good night to you friends
Kindest regards
Mgariga

mi nielekeze kuwek miandishi rangi unafanyaje
 
200m ni kirefu sana tumezoea 80-100mt kwa kigamboni kuna makampuni mengi siku hizi ambao wanafanya 3.5ml kwa mita hizo nilizotaja watakukabidhi kisima kilicho complete..sina uhakika kwa 200m
Milioni 3.5 kwa mita ?
Mita 80 itakuwa m3.5 x 80 sio ?

Ni hatari sana
 
Hivi kuna vipimo vya maji vya kutambua ubora wa maji kabla ya kuyachimba ?
Ya kutambua kama hapa kuna maji ya chumvi au la ?
 
Jamani mmesahau kuhusu "water table", maji ukiyatoboa hata kwenye meter 200 lakini ikiwa water table ya hapo ni meter 20 basi yatapanda mpaka kufikia level ya water table. Sidhani hapo kama kuna tatizo la kuya-pump kutoka huko chini sana.

Pia mkumbuke kuna visima vingine vinakuwa ni "Artesian wells" ambavyo vinaweza vikapanda kutoka huko meter 200 mpaka vikawa vina flow vyenyewe bila kuhitaji pump.

Nakumbuka hayo niliyasoma form 2 mwaka 1971.
saw bibi
 
Back
Top Bottom