Wakuu eeeh,kama nimenunua gari kwa mtu nikitaka jina la kadi ya gari libadilike liwe langu nalipia kiasi gani na kodi ya uuzaji gari ni asilimia ngapi ya thamani ya mauziano ya gari?,naomba kuwasilisha