Gharama za kuanzisha mgodi tz

changman

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
229
90
Habari zenu. Kwa wenye uzoefu katika sekta ya madini, kwa mtu anayetaka kuanzisha mgodiwa saizi ya kati, ni madini ya aina gani hayana gharama kubwa kuchimba na processing?
 
Mkuu, katika madini niliyowahi kuona ni rahisi kumtoa mtu hapa kwetu Tanzania ni Makaa ya Shaba, (Copper Ore) haya yanapatikana kwa urahisi na bila kwenda kina kirefu, Hapa nyumbani hakujawa na mtambo wa kusafisha haya makaa na kupata shaba, ila wafanyabiashara wanao nunua haya makaa nakuyasafirisha nje kwa usafishaji wapo, sijajua gharama ya tani moja (kilo 1000) ni shilingi ngapi ila ni mwanzo mzuri kwa mtu wa kati. Kila la kheri mkuu.
 
Mkubwa inategemea na mgodi wako unaotaka kuanzisha unadeal na kitu gan?kama dhahab thn ni plant tu na haina haja ya kua mchimbaj na cha maana unanunua mabak ya mchanga na gharama inakua ndogo tofaut na ukianzisha mgodi wa kuchimba kabisa
 
Sasa mkuu,hii michanga ya viroba wanayouza hawa wachimbaji wadogowadogo kwa apprx laki 5 mfuko mmoja?

Mkubwa inategemea na mgodi wako unaotaka kuanzisha unadeal na kitu gan?kama dhahab thn ni plant tu na haina haja ya kua mchimbaj na cha maana unanunua mabak ya mchanga na gharama inakua ndogo tofaut na ukianzisha mgodi wa kuchimba kabisa
 
Mkuu, katika madini niliyowahi kuona ni rahisi kumtoa mtu hapa kwetu Tanzania ni Makaa ya Shaba, (Copper Ore) haya yanapatikana kwa urahisi na bila kwenda kina kirefu, Hapa nyumbani hakujawa na mtambo wa kusafisha haya makaa na kupata shaba, ila wafanyabiashara wanao nunua haya makaa nakuyasafirisha nje kwa usafishaji wapo, sijajua gharama ya tani moja (kilo 1000) ni shilingi ngapi ila ni mwanzo mzuri kwa mtu wa kati. Kila la kheri mkuu.

Nashukuru mkuu
 
Nilipata tembelea maeneo fulani kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu. Niligundua kuna opportunity nyingi tu. Kulikuwa na mashine (crasher) moja tu, na gharama ya kusaga ndoo moja za lita 10 ilikuwa sh. 3,000. Basi kutokana na wingi wa mawe, mtu husubiri mpaka siku 10 ili kupata nafasi kusaga.
 
usiangaike kununua vile viroba mana vile viroba vina gharama yan zaid ya gharama,cha maana nenda kwa wale wachimbaj wadogo na wao wakishamaliza local process zao uwa wanaacha mchanga ambao umeshindwa kukamatwa na magunia na ule mchanga wanaoacha ambao wao wanaona ni uchafu yan una madin ya ukweli yan zaid ya madin ya ukwel na kama unataka kununua Crusher kama wao wanavoita(ila inaitwa SAG mill) then the best option ni kununua na kwenda kuiweka kwa wachimbaji wadogo kama huku kuna sehemu inaitwa Nyangarata na hizo mashine za kusaga ziko chache na inabd watu waende mbali ili wakasage.

Ni nzuri kununua mchanga afu uanze process zako na ujue reagents za kutumia na hata running cost.

Pa1 kaka
 
Hiyo crasher inauzwa hela ngapi?
 
Crusher unwa ina range kati ya 5 to 60million pande za huku kahama na kuna frnd wangu mmoja amenunua yake pande za morogoro na amesema ziko strong mana kila crushe ina depend na nature ya ore,kama hardness ya ore ni kubwa thn hzo mill hazitosurvive ila kama ore au mchanga sio hard then itadumu muda mrefu
 
Vipi faida yake ikoje? Gharama zinaweza kurudi baada ya muda gani?
 
Crusher unwa ina range kati ya 5 to 60million pande za huku kahama na kuna frnd wangu mmoja amenunua yake pande za morogoro na amesema ziko strong mana kila crushe ina depend na nature ya ore,kama hardness ya ore ni kubwa thn hzo mill hazitosurvive ila kama ore au mchanga sio hard then itadumu muda mrefu
Faida imekaaje mkuu
 
Kaka ina depend na sehem unayoenda kuweka mana kama sehemu za huku kahama zinaitwa Nyangarata nadhan ndani ya miezi 4 helako inakua isharud mana per day unaweza kusagsha watu kama 20 per day na ukapata kama lak na nusu na hyo inauzwa 5Mil sopiga mahesabu kaka mana sometymz kiroba kimoja kinaweza kua ni 10 au 8 na dat depend on population iliopo maeneo hayo,so mambo yanakua mazuri kama ukianza na crusher yako katika eneo na umuweke mtu muaminif.Hop hayo maelezo yatatosha.
 
kaka hiyo ni nZuri ila nadhan ungechukua sample ya mchanga wako then ukaangalie mana unaweza ukakuta Ruby iko associated na mineral nyingne.
 
Ndugu jash mimi sina utaalam ndo mana nataka mdau tusaidiane haya
 
Poa najua kaka hauna utaalam ila kama inawezekana,chukua mchanga ambao unajua uko associated na Ruby then nenda kwa jamaa flan wa serikali wanaitwa GST wako cheap katika gharama zao afu waambie ili wakufanyie analysis ili ujue kuna minerals gan kaka mana unaweza ukasema Ruby tu kumbe kuna zaid ya Ruby nabaadae mtu akaj nufaika zaid
 
Crusher unwa ina range kati ya 5 to 60million pande za huku kahama na kuna frnd wangu mmoja amenunua yake pande za morogoro na amesema ziko strong mana kila crushe ina depend na nature ya ore,kama hardness ya ore ni kubwa thn hzo mill hazitosurvive ila kama ore au mchanga sio hard then itadumu muda mrefu

Mkuu huyo jamaa amenunua kwa jamaa gani hiyo Crasher? tafadhali nipatie mawasiliano ya huyo jamaa kwa PM, chonde mkuu?
 
Kama mtu una sh milioni 5 badala ya kuanzisha ka mgodi kadogo, si unaweza pia fanya biashara ya kununua gemstones na kuziuza? Mwenye uzoefu na hii atujuze. Nasikia madini kama rhodolite, garnet, saphire, amathyst n.k yana soko zuri sema jinsi ya kuyanunua kwa wachimbaji ndo sielewi inakuaje hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom