Napata wapi pump za mafuta chini ya 5mPump nyingi ni chini ya 5 mil
Kiwanja ndio bei maana kiwanja ndo station yenyewe
Napata wapi pump za mafuta chini ya 5mPump nyingi ni chini ya 5 mil
Kiwanja ndio bei maana kiwanja ndo station yenyewe
Bora wewe umeelezea kwa namba. Sio hao wengine wanasema 2b maraa 700m ni pesa ya nyanya.Your Ideal Budget
Land plot size 4400 sq m or 1 acre (depending on location)
= 30 Million
Storage tanks:
One diesel tank of 25,000 liters capacity = 10 million
One petrol tank capacity 10,000 liters. = 7 million
17 Million
Dispensing pumps:
- One product, one nozzle. = 12 million
- Two products, two nozzles. = 17 million
29 million
Legal Costs including NEMC, EWURA, etc
= 8 million
Initial working capital for diesel and petrol.
= 72 million
9 kg dry powder fire extinguisher.
= 0.13 million
Standby generator (5 KVA).
= 2 million
74.13 Million
Initial salary for employees:
Manager = 0.8 million
Supervisor = 0.4 million
Pump attendant = 0.2 million
Watchman = 0.1 million
Sweeper = 0.1 million
= 1.5 Million
Furniture including sofa, carpet, desktop computer, chairs, tables, etc.
= 2.5 Million
1 canopy
= 30 million
Miscellaneous
= 3 Million
One electronic fiscal device (EFD).
= 0.86 Million
> Total Cost TZS 195 Million
NOTE: In this budget, I didn’t include construction costs of office buildings, toilets, and floors as it depends on how you want your station to be. I recommend you to hire a petrol station contractor who will help in designing and estimating your construction costs.
Subscribe##subsclibe???!!subsclibe
Mkuu unazungumzia ghorofa zipi hizo au zile za kuezekwa nyasi za kule umatengoni?usiogope mkuu, hata ujenzi mwingine kama wa ghorofa moja kwenye eneo la square meter 70 kuna wanaosema inajengwa kwa milion 300 , lakini ukweli ni kwamba hata milion 100 haiishi
Shida iko hivi , wewe mjengaji unatafuta kampuni ya kukujengea ghorofa moja , hiyo kampuni nayo inampa kazi mtu mwingine ambaye naye anatafuta vibarua kadhaa ! unadhani hawa wote watalipana nini ?Mkuu unazungumzia ghorofa zipi hizo au zile za kuezekwa nyasi za kule umatengoni?
Shida ilikuwa ni nini mkuu!?Mi zamani kidogo nilitaka kuweka pump na tank la lita 3000 za mafuta ya taa kisarawe, nilivyofuatilia nilichoka kabisa nikaacha
Shida ilikuwa ni nini mkuu!?
Hacha UONGO....! Data za kupika ume tamka tu kiasi, hapa ume ibia mzeeKITUO CHA MAFUTA KINAUZWA KIPO MBAGALA DAR ES SALAAM
BEI NI USD 1,000,000,000 (usd 1M) Sawa na pesa za kitanzania Bilioni 2
mawasiliano 0782 780 980 au 0677 81 82 83
View attachment 1257921
Umeziangalia hizo sifuri kwa uzuri?KITUO CHA MAFUTA KINAUZWA KIPO MBAGALA DAR ES SALAAM
BEI NI USD 1,000,000,000 (usd 1M) Sawa na pesa za kitanzania Bilioni 2
mawasiliano 0782 780 980 au 0677 81 82 83
View attachment 1257921
Na declare interest nimeshindwa kupata kibali hao uliowataja bado kuna list ya hmanispaa yaani watu wa mipango mijiWote hawa wanaweza kula ngapi?
Acheni kutisha bei wala la si kubwa Aliyetenda serious aje ni map tie quotation na mafundi akitaka hata ramani nimekwama mm nemc wa kuchukua 4m zangu bado EIA kale 3.4m nimechoka kapaHacha UONGO....! Data za kupika ume tamka tu kiasi, hapa ume ibia mzee
Ndio uongo ulipo mzee... Na ndipo unapo anziaga...Umeziangalia hizo sifuri kwa uzuri?
Yaaani ni tabu ma diwani wanataka kula viongozi wa mtaan haswa hapo wa nembo yakoNdio uongo ulipo mzee... Na ndio unapo anziaga...
Ukija mwambia piga hesabu hiyo USD 1M kwa tsh 2317 jibu lije 2B...
Hueleweki..sema uongo uko wapi...na ukweli ni upiii...na nini kilichopikwa...Hacha UONGO....! Data za kupika ume tamka tu kiasi, hapa ume ibia mzee
Structure gani za gharama hiyo zinafanya iwe ghari hivyo?Labda chakukodi wewe ushushe mzigo tu