EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 10,838
- 24,810
Mawazo mazuri. Shukrani.Unaweza kuanzisha hata Kama una mtaji mdogo. Hapo partnership ndio inafaa Kama unalengo LA kufanya ila mtaji mdogo. Kiwanja unaingia ubia,mzigo Wapange vizuri uchukue Mali kauli. Hapo wewe unapambana na ujenzi na pump etc. Mwisho WA siku mwenye kiwanja anapata, wewe chako na supplier chake.