DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,291
- 29,485
Acha utani wewe, milioni 700 haitoshi kujenga kituo cha mafuta?Acha utani wewe kituo cha mafuta hakijengwi kwa pesa ya kununulia nyanya.
Acha utani wewe, milioni 700 haitoshi kujenga kituo cha mafuta?Acha utani wewe kituo cha mafuta hakijengwi kwa pesa ya kununulia nyanya.
Wote hawa wanaweza kula ngapi?Mishe zote hizi zipo
a) Ewura ni Vibali na designing ya michoro
b) Nemc Mazingira,Eneo
c) Weight and measurement (Matenk)
Jiandae kuanzia milioni 700.
Wote hawa wanaweza kula ngapi?
Hebu tupe ufafanuzi kwa upande wako.Labda chakukodi wewe ushushe mzigo tu
Hiyo ya kuwa chini yao naona haitonifaa.Sina taarifa kamili......
Labda ufanye kazi za super dealer... Kwa mfano unapewa kituo ambacho kipo tayari,unakua unauza products zao tu.. Kama Puma,Total au Engen... na unakua unakula hela kwa commission kutokana na mauzo yako.... La sivyo ku operate kituo cha mafuta sio lelemama mkuu
Milioni 700 si wengi wangekuwa wanamiliki sheli,Mil. 700 au bil. Mbili!?
Usiogope mkuu, hata ujenzi mwingine kama wa ghorofa moja kwenye eneo la square meter 70 kuna wanaosema inajengwa kwa milion 300 , lakini ukweli ni kwamba hata milion 100 haiishiAcha utani wewe kituo Cha mafuta hakijengwi kwa pesa ya kununulia nyanya.
Ni kweli, yaani nimeona bil. mbili hadi nikapagawa.Wabongo kwa kuongeza masifuri hawajambo
Mnaosema kituo cha mafuta ni gharama ebu semeni gharama ipo sehemu gani.
Je pump?
Au ujenzi wa kisima chenyewe?
Au ujenzi wa lile la juu?
Au ni ununuzi wa mafuta ? Je ni gharam za usajili....wekeni wazi kipi gharama.
Kwa uelewa wangu pump za mafuta zipo hadi za 5m.ukikadiria pale chini sidhani kama panazidi 50m.sasa semen wapi ni gharana
Nadhani gharama kubwa ipo kwenye kupata eneo/kiwanja. Kumbuka filling stations nyingi/zote zipo pembezoni mwa barabara, mfano tu kutoka Mbezi mwisho kuelekea Goba kuna station inajengwa, nimesikia jamaa wamenunua eneo kwa 600ml, ukijumlisha na gharama za ujenzi, ununuzi wa mashine, tanks etc lazima 1.2bl itakata tu.