Msaada wa mchanganuo wa bei na miundombinu kuanzisha kituo cha mafuta (petrol station)

Sina taarifa kamili......

Labda ufanye kazi za super dealer... Kwa mfano unapewa kituo ambacho kipo tayari,unakua unauza products zao tu.. Kama Puma,Total au Engen... na unakua unakula hela kwa commission kutokana na mauzo yako.... La sivyo ku operate kituo cha mafuta sio lelemama mkuu
Hiyo ya kuwa chini yao naona haitonifaa.
 
Mnaosema kituo cha mafuta ni gharama ebu semeni gharama ipo sehemu gani.

Je pump?
Au ujenzi wa kisima chenyewe?
Au ujenzi wa lile la juu?
Au ni ununuzi wa mafuta ? Je ni gharam za usajili....wekeni wazi kipi gharama.

Kwa uelewa wangu pump za mafuta zipo hadi za 5m.ukikadiria pale chini sidhani kama panazidi 50m.sasa semen wapi ni gharana
 
Kiwanja

Nadhani gharama kubwa ipo kwenye kupata eneo/kiwanja. Kumbuka filling stations nyingi/zote zipo pembezoni mwa barabara, mfano tu kutoka Mbezi mwisho kuelekea Goba kuna station inajengwa, nimesikia jamaa wamenunua eneo kwa 600ml, ukijumlisha na gharama za ujenzi, ununuzi wa mashine, tanks etc lazima 1.2bl itakata tu.
 
Pia kuna ubia
Mwenye kiwanja anatoa kiwanja chake kama sehemu ya mtaji..
Kiwanja kinakuwa kuwa valued.
Wewe unajenga..
Faida mnagawana...
Very simple..
Sasa nani asiyetaka fursa hiyo..

Back
Top Bottom