Msaada wa mchanganuo wa bei na miundombinu kuanzisha kituo cha mafuta (petrol station)

1100356
1100357
 
Wewe unataka kipi kati ya hivi? Filling station( ndogo, hutoa huduma ya mafuta tuu) na service station ( kubwa, hutoa huduma zaidi ya moja)

1. Hakilisha eneo lako limepimwa, hati inasoma matumizi sahihi ya hio ardhi

2. Tafuta consultant akuandalie Environmenral Impact Assessment (adaa mil 8 na kuendelea kulingana na ukubwa wa kituo chako- hii process itachukua not less than 2 months)

3. Tafuta mchoraji(architect/engineer) akuandalie michoro sahihi kwajili ya kituo chako.. michoro utaambatanisha katika process no. 2

4. Ukishapata environmental clearance /EIA certificate, nenda manispaa/wilaya husika kupata kibali cha ujenzi. Gharama za kibali hutegemea na manispaa/wilaya husika.. hii hatua huchukua mwezi mmoja or less (kwa dar hata miezi minne na keundelea, kulingana na uchap wako)

5. Utaambatanisha copy za kibali cha ujenzi, EIA certificate, michoro, form ya maombi, TIN no. Leseni ya biashara kama unayo, peleka EWURA kwajili ya kibali.. Ewura huchuka muds mchache tuu kama vitu vyako viko clear...

4. Ewura wakikupa go ahead, kasajili mradi CRB, ERB, AQRB na OSHA.. hii hatua yaweza kula mil kama 6, kama utaishia tuu kununua vibao vya makampuni ya consultancy na ujenzi kwa jili ya bango tuu, au kiasi kikazidi kama utaamua kuwa engage kabisa katika hatua zote za ujenzi..

5. Anza ujenzi kwa kuumia kampuni ya ujenzi, au mafundi wazoefu wenye workamanship nzuri..

6. Hii sio lazima, ni ushauri tuu.. Tumia international franchise, especially TOTAL na PUMA.. wateja wanaziamini sana, na utauza sana.. mafuta na lubricants utanunua kwao, wao wata brand kituo chako kwa nembo zao..

7. Thank me later..
Habari naomba anayefahamu hizo taratibu anisaidie asanteni.
 
Mkuu na shukuru kwa msaada wako ninahitaji ni hiyo kubwa ya kutoa huduma zaidi ya moja
 
👍
 
Habari waungwana.

Naomba kujua hatua za mwanzo jinsi ya kuanzisha kituo cha mafuta, gharama na utaratibu wote kuanzia namna ya kupata matenki pamoja na mashine zake.

Na ni wapi naweza kupata vifaa hivyo hasa kati ya Mwanza ama Dar, na kama kuna utofauti wowote wa kuanzisha kituo kidogo ama kikubwa.

Naomba kuwasilisha.
 
Mishe zote hizi zipo
a) Ewura ni Vibali na designing ya michoro
b) Nemc Mazingira,Eneo
c) Weight and measurement (Matenk)
Habari waungwana.

Naomba kujua hatua za mwanzo jinsi ya kuanzisha kituo cha mafuta, gharama na utaratibu wote kuanzia namna ya kupata matenki pamoja na mashine zake. Na ni wapi naweza kupata vifaa hivyo hasa kati ya Mwanza ama Dar, na kama kuna utofauti wowote wa kuanzisha kituo kidogo ama kikubwa.

.
Bilioni mbili
 
Back
Top Bottom