kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,147
- 2,745
Jionee mwenyewe.
Gharama zote hizo ni kwa ajili ya kubariki ndoa tu ama? Huyo mwanamke si walishaishi wote pamoja hao
Rais wa machawa Tanzania.Ndiyo Nani Hapa Tanzania
Ongeza Habari Kwa Kina
Kupe, Ngeda, Papasi, NdoroboRais wa machawa Tanzania.
Huyu chawa atakuwa mkubw kuliko mendeRais wa machawa Tanzania.
Ana saloon ya kike , celebs wengi wa kike bongo yeye ndo anapambaNa utakuta Hana kazi yoyote mjini daslamu
Hongera yake,Sasa ana kazi nzuri lakini baro anajishusha kwenye uchawaAna saloon ya kike , celebs wengi wa kike bongo yeye ndo anapamba
Mhh hapana kwakeli sio kwa budget hio na mwonekano huu....
Afu huyu dada mzuri tu siku za kawaida, sijui kapambwa na nani
Chawaaa!!!Na utakuta Hana kazi yoyote mjini daslamu
Mhh hapana kwakeli sio kwa budget hio na mwonekano huu....
Afu huyu dada mzuri tu siku za kawaida, sijui kapambwa na nani
Nimeona “Bride & Matron Hair Milion 2”
Ni nywele izo kichwani au zengine?